Tukio la kusisimua nililolishuhudia kwa macho yangu katika msitu wa Nairoto

👍👍👍
 
Fact...
 
Dah! Aisee! Kwa kweli haya maisha.
Anyway, kila kitu Ni namna ulivyozoea
 
Utani-tag mkuu
 
Kitu kime boooom mawe mekundu babeki hapa tumechukua madumu 150 tupo karashani tunasaga' tunatafuta ya chrismax mkuu si unajua
ayaaaaah daaah kutamanishana huko sio vizuri mkuu......huko hawaleti uhuni kwenye kuosha na kukamatisha?!...angalia wasifiche ndoo za mahomeka kwenye filter na mkamatishaji asifanye mazuri wenye mwalo hawaweki glycerine kwenye mercury?!....usinisahau kamgao hata ka soda hahah...
 
Mzee umeenda kuoga huko huko Nyumbanitu au?? Rudi mzee tunasubiri. Kuna story nyingi za Nyumbanitu ziko humu JF ila yako inaonekana itakuwa tofauti... lete tujifinze na kutalii tz. Binafsi niliwahi kupita tu barabarani nikaoneshwa pale ndo Nyimbanitu.
 
Mkuu bado unaoga tuu aisee, tunasubiri huku seblen chief!
 
Hii naikumbuka vizuri sana, mpaka mmoja alieokolewa 2015 akauliza Lowassa alishinda urais? Ilibidi mzee Eddo amtembelee tu kumpa pole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…