Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Duuuh...wewe ni mbabaishaji kama wengine tu.
Mods waitwe hapa waifutilie mbali story yako hii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuuh...wewe ni mbabaishaji kama wengine tu.
Mods waitwe hapa waifutilie mbali story yako hii.
👍👍👍Anacho kisimulia jamaa ni story ya kweli kabisa mm nmeshatembea baadhi ya machimbo kule Kuna vitu vya kutsha sana, kule maiti zinapitwa kama kafa kuku tu hakuna anae jali ni unyama unyama kama hujapata nafas ya kuish mazingira ya migod ya dhahabu unaweza kudhani hizi ni strori za kusadikika , tembea uone hii dunia haipo Kama unavyoiona hii dunia ina visa zaidi ya movie unazo ziona
Fate yake Ni kufukiwa shimoniKwa nilivyokusoma naona umeshapata migao mingi sana pesa tena pesa kubwakubwa kwanini usirudi Tz ubadili maisha
Mbinu: ruka comment fuata uzi.huu uzi umenikomesha
nimesoma comments zote kisa kutafuta muendelezo wa habari
Fact...Haya machimbo ya kuibuka tu wanayaita RUSH..
Yani mzigo ukisoma ndani ya masaa mawili huezi amini kama lilikua pori utakuta Gest, baa, malaya washatimba, mama ntilie, soko, maduka na kila kitu....
Na ndani ya masaa kadhaa pia unaweza kupakuta peupe likiibuka chimbo jipya linalotema.... Watu wa GEITA wanayajua haya mazingira na rush ikidumu miaka minne vijiji vya pembeni kutakua nawatoto wengi balaaaaaa na hawana baba na hawa hua hawaendi shule....
Dah! Aisee! Kwa kweli haya maisha.Mkuu hii ni dunia nyingine.
Mara kibao nimejaribu kufanya hivyo lakini nashindwa.
Nikikaa home mwezi tu, nayamiss haya maisha.
Kuna kipindi najiuliza (hasa nikiwa kwenye hali mbaya) hivi nimezaliwa kuishi maporini?
Maana mifano naiona, wapo wazee tunachimba nao.
Mzee anakuhadithia machimbo miaka ya 1980 huko, yani hata sijazaliwa.
Kuna mzee alifuatwa na mwanae arudi home (mwanae ni mkubwa na ana pesa) mzee alikataa kata kata, mpaka yule mtoto akawaomba wazee wenzie (nao ni wachimbaji) wamshauri mzee akubali kurudi home, na mpaka sasa mzee tunae Migodini, sijui yuko poli gani.
Utani-tag mkuumimi miweke hapa hapa habari yangu kuhusu machimbo haya na actually siyo machimbo ni harakati za kusaka mali alizoacha mjerumani wakati wanaondoka kutuachia nchi
kuna kitu tunafumbwa sana tunafichwa ukweli,wakoloni walipanga kila kilichotokea kwenye makoloni yao na hata yanayotokea sasa yalipangwa na wanajua nini kitafatia baada hata ya miaka kumi kuhusu nchi hizi masikini za afrika
kwamba walijipanga kuondoka ni KWELI,na uhuru hatukupigania,ni wao walipanga sasa watatutawala kwa namna nyingine ili waende wakajenge nchi zao huku wakiendelea kututawala kwa mbali na kuchuma mali zao...viongozi wote wanaokuwa madarakani ni vibaraka wao,hakuna hata mmoja mzalendo wa kweli na nchi yake
nina ushuhuda wa kusema haya,moja kati ya makubaliano yao ilikua ni kuacha mali zao salama na jukumu la serikali ni kuzilinda na kuwaruhusu wakija zichukua hata baada ya miaka mia,haya yapo kimkataba na kila raisi anayeingia madarakani anaambiwa hizi siri....na waliacha mali kweli za kutosha
story yangu sasa inabase kwenye hizi mali,hapa ni madini waliyoacha kwenye misitu ya nyumbanitu huko njombe,safari ya kuzifata hizo mali zilifanya nipoteze ndugu zangu watatu na mimi kunusurika chupu chupu ila kubaki na ulemavu...sitasahau hii safari ya machozi,jasho na damu.
ngoja nikaoge nakuja...
hahah wapi hiyo blaster nyangarata ama?!.....vipi cotex umesuka vizuri na kibati kikigoma umejipangaje hahaaha...Aha ha ha hahaha.! dah karibu mkuu tumechoronga mwamba baruti ndo tumefunga tayari kwa kulipua..
Kitu kime boooom mawe mekundu babeki hapa tumechukua madumu 150 tupo karashani tunasaga' tunatafuta ya chrismax mkuu si unajuahahah wapi hiyo blaster nyangarata ama?!.....vipi cotex umesuka vizuri na kibati kikigoma umejipangaje hahaaha...
ayaaaaah daaah kutamanishana huko sio vizuri mkuu......huko hawaleti uhuni kwenye kuosha na kukamatisha?!...angalia wasifiche ndoo za mahomeka kwenye filter na mkamatishaji asifanye mazuri wenye mwalo hawaweki glycerine kwenye mercury?!....usinisahau kamgao hata ka soda hahah...Kitu kime boooom mawe mekundu babeki hapa tumechukua madumu 150 tupo karashani tunasaga' tunatafuta ya chrismax mkuu si unajua
Mzee umeenda kuoga huko huko Nyumbanitu au?? Rudi mzee tunasubiri. Kuna story nyingi za Nyumbanitu ziko humu JF ila yako inaonekana itakuwa tofauti... lete tujifinze na kutalii tz. Binafsi niliwahi kupita tu barabarani nikaoneshwa pale ndo Nyimbanitu.mimi miweke hapa hapa habari yangu kuhusu machimbo haya na actually siyo machimbo ni harakati za kusaka mali alizoacha mjerumani wakati wanaondoka kutuachia nchi
kuna kitu tunafumbwa sana tunafichwa ukweli,wakoloni walipanga kila kilichotokea kwenye makoloni yao na hata yanayotokea sasa yalipangwa na wanajua nini kitafatia baada hata ya miaka kumi kuhusu nchi hizi masikini za afrika
kwamba walijipanga kuondoka ni KWELI,na uhuru hatukupigania,ni wao walipanga sasa watatutawala kwa namna nyingine ili waende wakajenge nchi zao huku wakiendelea kututawala kwa mbali na kuchuma mali zao...viongozi wote wanaokuwa madarakani ni vibaraka wao,hakuna hata mmoja mzalendo wa kweli na nchi yake
nina ushuhuda wa kusema haya,moja kati ya makubaliano yao ilikua ni kuacha mali zao salama na jukumu la serikali ni kuzilinda na kuwaruhusu wakija zichukua hata baada ya miaka mia,haya yapo kimkataba na kila raisi anayeingia madarakani anaambiwa hizi siri....na waliacha mali kweli za kutosha
story yangu sasa inabase kwenye hizi mali,hapa ni madini waliyoacha kwenye misitu ya nyumbanitu huko njombe,safari ya kuzifata hizo mali zilifanya nipoteze ndugu zangu watatu na mimi kunusurika chupu chupu ila kubaki na ulemavu...sitasahau hii safari ya machozi,jasho na damu.
ngoja nikaoge nakuja...
Mkuu bado unaoga tuu aisee, tunasubiri huku seblen chief!mimi miweke hapa hapa habari yangu kuhusu machimbo haya na actually siyo machimbo ni harakati za kusaka mali alizoacha mjerumani wakati wanaondoka kutuachia nchi
kuna kitu tunafumbwa sana tunafichwa ukweli,wakoloni walipanga kila kilichotokea kwenye makoloni yao na hata yanayotokea sasa yalipangwa na wanajua nini kitafatia baada hata ya miaka kumi kuhusu nchi hizi masikini za afrika
kwamba walijipanga kuondoka ni KWELI,na uhuru hatukupigania,ni wao walipanga sasa watatutawala kwa namna nyingine ili waende wakajenge nchi zao huku wakiendelea kututawala kwa mbali na kuchuma mali zao...viongozi wote wanaokuwa madarakani ni vibaraka wao,hakuna hata mmoja mzalendo wa kweli na nchi yake
nina ushuhuda wa kusema haya,moja kati ya makubaliano yao ilikua ni kuacha mali zao salama na jukumu la serikali ni kuzilinda na kuwaruhusu wakija zichukua hata baada ya miaka mia,haya yapo kimkataba na kila raisi anayeingia madarakani anaambiwa hizi siri....na waliacha mali kweli za kutosha
story yangu sasa inabase kwenye hizi mali,hapa ni madini waliyoacha kwenye misitu ya nyumbanitu huko njombe,safari ya kuzifata hizo mali zilifanya nipoteze ndugu zangu watatu na mimi kunusurika chupu chupu ila kubaki na ulemavu...sitasahau hii safari ya machozi,jasho na damu.
ngoja nikaoge nakuja...
Mike?Nipo ofisini mkuu, ni half day so kuanzia saa sita nitakuwa free, utaenjoy
[emoji28][emoji28][emoji28] yaani kila saa unachungulia UziDadeki izi alosto za kusubiri stori ya mtu shida khaaaa
Mkuu mtu mweusi ana matatizo sana,afu akiambiwa uhalisia wake anarusha ngumiAfricans ni watu wa ajabu kweli.
Mtu akiandika vitu virefu mnalalamika mtu akiandika vitu vifupi mnalalamika vilevile.
Hii naikumbuka vizuri sana, mpaka mmoja alieokolewa 2015 akauliza Lowassa alishinda urais? Ilibidi mzee Eddo amtembelee tu kumpa poleMchimbaji maisha yake anatembea na sururu ndogo tu wanaita MOKO hivyo akiambiwa ahame au Kuna machimbo mapya yanatema dhahabu wala hana cha kubeba zaid ya sururu yake na kusepa, wengi wao hawajarudi nyumban kwao kwa miaka mingi sana maisha yao yamekua ni ya kuhama hama kwenda machimbo mapya sehem anaposikia dhahabu imetema.
Mchimbaji akipata hela huwa anaitumia kwa fujo kunywa pombe, kulala na wanawake tofautitofauti wanaojiuza maeneo ambayo yako pemben na machimbo ambapo huwa wanaanzisha mji wa dharura ambapo panapatikana kila kitu, gesti za mabati,bar za mabati zenye mziki mzito kama upo town kumbe uko porini , na migahawa kwaajili ya chakula maeneo wanapo pata huduma hizo ndo hayo wao wanaita MATANDA .
Ukikuta Hawa jamaa wanakula pesa zao we waache tu wale wanazipata kwa mateso makubwa sana, mfano... Kuna maeneo ya shinyanga watu walifunikwa na udongo wakiwa ndan ya mashimo walikaa siku 42 wakiwa ndan ya ardhi lakin baadhi wengi walifariki na walipona watatu tu baada ya kuchimba kwa siku 41 ndo wakapata maiti na watu wa3 waliokua kwenye Hali mbaya Sana, wao wanasema walikua wanakula mende na baadhi ya wadudu kwa muda huo wote, lakin baadhi ya story inasemekana ilifika hatua wakaanza kula nyama za wenzao waliokufa ili wasife, nafikiri habri ya watu kufukiwa shinyanga ipo hadi YouTube..
Story za machimbo ukiambiwa unaweza kudhani ni movie au unadanganywa ila watu wanapambana sana na maisha