Tukio la kusisimua nililolishuhudia kwa macho yangu katika msitu wa Nairoto

Sasa ikawaje baada ya nyie kuchukua fedha?? Au ndio mchezo ukaisha??

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Mchezo uliishia wapi?
Basi nikazigawanya zile hela mule mule dukani, nikampa dogo laki mbili zingine nikabaki nazo Mimi. Nikamwambia we pita njia yako nami njia yangu hata Kama tunafuatiliwa tusipokonywe yote na usinunue chochote nikukute home. Baada ya makubaliano mi nikashika njia yangu na dogo nae yake, nikaenda duka flani kununua carpet ya manyoya, nikanunua na subwoofer na vitu vingine vidogo dogo vya kupendezesha chumba na nikabakiwa na chenji kazaa nikarudi home.
Usiku tumelala dogo akashtuka kelele mtindo mmoja huku akining'ang'ania mimi, tukakimbia mpaka sebureni. Nyumba nzima watu wakaamka, nami nimejawa na hofu tele huku sijui nini kimempata dogo. Akawa anaulizwa anaweweseka huku akisema kuna mwarabu mzee amekuja akakaa kitandani anataka.....hasemi anaogopa.
 
Aiseee
 
Hii story ni ya kweli kabisa mkuu mana kaka yangu aliendaga msumbiji tangu miaka ya 2013 na tokea alipo kwenda huo mwaka hakupiga simu wala wazazi hawakuju kuwa yupo katika hali gani ndani ya miaka miwili, siku moja mzee alimwambia mama kuwa nakuomba tuombe maana naona mwanetu yupo katika hali ya kifo uko alipo ilikuwa ni usiku hivyo wazee waliomba sana kilipita kipind cha kama wiki mbili mama akanipigia simu kuwa kaka yako alikuwa yupo machimboni msumbiji amerudi ila anasema watu uko wanakufa kama kuku na kisa pia cha watu kufa alisema ni waliekewa sumu kwenye maji ya kisima hivyo yeye alisita kunywa hayo maji hivyo nikilinganisha na kisa ulicho kitaja hapo awali naona kama hiyo sehem ndio kaka alikuwepo
 
Mama na mzee wakasema ameota huyu rudini mkalale. Baada ya kukazimishwa na kuingia room tukapanda kitandani yaani nilikuwa mpaka nausikia moyo wa mdogo wangu ulivyokuwa ukimdunda huku akitetemeka nami nikajawa na hofu kuwa hapa Kuna kitu na si ndoto kama wazazi walivyosema. Dakika kumi nyingi, nikashangaa gafra mdogo wangu kaniruka kuja mwisho wa kitanda ukutani. Ile kuangalia tunapopandia kwenye kitanda kwa macho yangu tena kukiwa na giza nikamwona mtu amevaa kanzu nyeupe akiwa na mandevu kibao akifunua neti like naye apande kitandani...
Aisee kelele nilizopiga hazikuwa na mfano
 
Hata mimi naamini naye alikuwa hapo kwa kipande hiki ulichosema.
 
Mi nilimuamini Kitoabu toka day 1
 
Mama na mzee wakasema ameota huyu rudini mkalale. Baada ya kukazimishwa na kuingia room tukapanda kitandani yaani nilikuwa mpaka nausikia moyo wa mdogo wangu ulivyokuwa ukimdunda huku akitetemeka nami nikajawa na hofu kuwa hapa Kuna kitu na si ndoto kama wazazi walivyosema. Dakika kumi nyingi, nikashangaa gafra mdogo wangu kaniruka kuja mwisho wa kitanda ukutani. Ile kuangalia tunapopandia kwenye kitanda kwa macho yangu tena kukiwa na giza nikamwona mtu amevaa kanzu nyeupe akiwa na mandevu kibao akifunua neti like naye apande kitandani...
Aisee kelele nilizopiga hazikuwa na mfano
Duh, sasa ikaishiaje??

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Duh, sasa ikaishiaje??

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Hivi unajua nipo lunch my dear? Nakula alafu nirudi ofisini. Huko nitaangalia Kama nitapata nafasi niendelee maana haya mambo sikia tu kwa mwengine. Sikuwa na mpango wa kusimulia hiki kitu na ni mara yangu ya kwanza kusimulia. Dhahabu siitaki kabisa maana kila nikimuona mtu ameivaa iwe kidoleni au shingoni hii kumbukumbu inanijia na mpaka sura ya yule mzee wa kiarabu (jini nani sijui tuliambiwa nishasahau jina lake) naikumbuka mpaka sasa.
 
Enjoy your lunch dear! Utakapo pata muda uje kumalizia hiyo habari maana imeniogopesha nafikiria sana maana kuna mtu nae aliwahi kunihadithia kila akivaa dhahabu zinapotea zenyewe bila ye kujua ila sikumuamini, kiukweli haikuniingia akilini kabisa!
Nadhani ukimaliza kutueleza mkuu Kitoabu kwavile ameishi kwenye machimbo ataongeza nyama na chongoe kwavile amekuwa akisafirisha majini ataongeza nyama as well

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Mzee Kitoabu nawe upo kwenye list ya waleta faraja humu jf japo Kuna wengine tunawadai mastori wa Kwanza

jerrybanks na stori yake ya Mambo ya giza mwingine yule msimuliaji wa Vita ya Rwanda

Bossless sema simu yake ilipasuka stori ikaanza kuwa na utata japo tunamdai aje mwingine mzee wa Swizz

Parabora huyu Mwamba naomba uje na ID nyingine alete vitu vya Europe na malysia, Singapore huko, mwingine n

digba sowey na stori ya kushuudia uchawi sema ule Uzi ulivamiwa na walolokole mbaya zaid n single mamaz waliaribu Uzi, yule

Habibu B. Anga aendelee kuwauzia tuu wasioelewa stori za kucopy na kutafsir japo kutafsir n Kaz Ila kuuza sio mzee.

Kwa ujumla mnatupa vitu ambacho vipo Ila kwa maana nyingine sie wengine hatujakutana navyo na vinatupa funzo zuri katka maisha hvyo msisite kuleta stori Kama hzo Kwan usisimua akili na funzo pia hvyo tunawaomba mrejee kwenye nyakati za dhama zetu
@parabora tumemmiss kweli na story zake za abroad[emoji1][emoji1] rudi bhana mzee
 
naona Story huijui kabisa wala kuifuatilia
hao Al-Shabab walipobeba masanduku ya kura umepasoma? au umekimbilia kishindo
chama chako kimeiba hakuna ushindi hapo acha tukatafute dhahabu Cabo delgado
Mtu hata dragon hujui,,kwenye hii dunia unafanya nini[emoji3][emoji3]

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom