Tukio la kusisimua nililolishuhudia kwa macho yangu katika msitu wa Nairoto

Enjoy your lunch dear! Utakapo pata muda uje kumalizia hiyo habari maana imeniogopesha nafikiria sana maana kuna mtu nae aliwahi kunihadithia kila akivaa dhahabu zinapotea zenyewe bila ye kujua ila sikumuamini, kiukweli haikuniingia akilini kabisa!
Nadhani ukimaliza kutueleza mkuu Kitoabu kwavile ameishi kwenye machimbo ataongeza nyama na chongoe kwavile amekuwa akisafirisha majini ataongeza nyama as well

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Thank you sweetheart.....
Basi yule mtu akapotea, hapo niko juu ya mdogo wangu wote tunang'ang'ania kule mwisho ukutani mbali na pale tilipomuona yule mtu akifunua neti. Watu wakaja chumbani, awamu hii baba alikuja na silaha mama na majirani wanaume watatu wakatukuta tunalia mbaya.
Waliingiwa na imani ya uwepo wa hali si ya kawaida kwasababu mara ya kwanza mdogo wangu ndio alipiga kelele, mara ya pili na ukubwa wote wa kuwa mwaka wa kwanza chuo Udsm nipige kelele vile?! Kingine kilichowashangaza wazazi ni kutokuwepo kwa huyo mtu ndani na wao ndio wamefungua mlango, pili mabadiriko ya chumba ya vile vitu ambacho nilivinunua kupitia Ile hela ya pete bila wao kujua maana hatukuwaambia (kwa vitu hawakujari sana kwasababu nilikuwa na boom though nilikuwa nakaa main campus ila week end narudi home coz sio mbali na chuo)
Wote tukaenda sebureni na kusimulia nilichokiona, walipokonekti na aliyoyasema dogo mara ya kwanza wakaona hapa kuna jambo. Majirani zetu ni waislamu, mmoja akasuggest wasome dua kufukuza kitu kibaya alafu asubuhi tupelekwe sehemu. Kwa kipindi like sikujua wanamaanisha sehemu gani, nilikuwa kujua baadae. Wamemaliza kusoma wanatuambia turudi chumbani tukalale hakuna kitakachotokea tena...weee nani akubali? Mi nikapinga nakusema bora nikae macho hapa hapa sebureni mpaka asubuhi kule chumbani sirudi, hiyo ni mida ya saa tisa kasoro usiku.
 
Aisee kwahiyo mkakesha wote na dogo au ye alijitosa kulala baada ya kupatiwa dua?
 
Nifupishe... Ilipofika asubuhi pamoja na ukristo wao wazazi wetu lakini walikubaliana na mzee mmoja jirani yetu watupeleke kwa shekhe mmoja hivi. I can't differentiate him with mganga ila ye anachora chora kwenye karatasi alafu anawaambia nini hasa kilichotokea, kilichopo na nini chakufanya.
Yule shekhe ndio akaanza kusema, aisee over alikuwepo na mdogo wangu kwa jinsi alivyokuwa anasimulia mpaka sonara wa kwanza kupandisha majini maana alikutana na jini lenye nguvu kuliko yeye likamuonya. Kumbe kile kidani chekundu juu ya pete ni jini lilikuwa limewekwa kwenye mfumo wa kidani kwenye Pete ya dhahabu kwaajili ya kazi za yule mwanamke (Hapa sitaingia into details maana hayahusu hii simulizi). Akamtaja mpaka jina la hilo jini kuwa hatatuacha kwasababu tumempeleka sehemu (kwa sonara yule wa pili) amefukuzwa so anatufuata sisi tumrudishe sijui wapi yule shekhe alisema.
Sisi tukaombewa ombewa pale na yule shekhe alafu tukapewa dawa ya kuoga kwa siku saba yaani unaichanganya kwenye maji ya kuoga. Sisi tukatolewa nje ndani wakabaki baba, yule mzee aliyemshauri baba twende kwa huyo shekhe na shekhe mwenyewe wakijadili jambo.
 
Ehee halafu baada ya kuoga mambo yakatulia?

Mliweza kulala au ndio ilikuwa uoga kama wote?
 
Mtu hata dragon hujui,,kwenye hii dunia unafanya nini[emoji3][emoji3]

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Nyie ndo mnasababisha chama tawala kila uchaguzi kinashinda kwa kishindo..
wewe utakuwa punga mbona unanifuata sana? nimeshakuelewesha nakunywa Dragon beer na picha nimekuwekea, bado unaniletea mambo ya CCM kushinda, usinilazimishe energy tu, hata DRAGON Beer, liquor spirit zipo,
Member wote hapa tunasubiri jamaa alete habari za Msumbiji ndio jikite huko sio kunifuata mm au mmojammoja unaacha mada kwa kuwa tu umeonja kilaji hicho
tunashereheshana ili hadithi na matukio yaje tukimsubiri mleta mada, p/se usinitafutie BAN uchaguzi umeisha
1605269545728.png

DRAGON
 
Mzee Kitoabu nawe upo kwenye list ya waleta faraja humu jf japo Kuna wengine tunawadai mastori wa Kwanza

jerrybanks na stori yake ya Mambo ya giza mwingine yule msimuliaji wa Vita ya Rwanda

Bossless sema simu yake ilipasuka stori ikaanza kuwa na utata japo tunamdai aje mwingine mzee wa Swizz

Parabora huyu Mwamba naomba uje na ID nyingine alete vitu vya Europe na malysia, Singapore huko, mwingine n

digba sowey na stori ya kushuudia uchawi sema ule Uzi ulivamiwa na walolokole mbaya zaid n single mamaz waliaribu Uzi, yule

Habibu B. Anga aendelee kuwauzia tuu wasioelewa stori za kucopy na kutafsir japo kutafsir n Kaz Ila kuuza sio mzee.

Kwa ujumla mnatupa vitu ambacho vipo Ila kwa maana nyingine sie wengine hatujakutana navyo na vinatupa funzo zuri katka maisha hvyo msisite kuleta stori Kama hzo Kwan usisimua akili na funzo pia hvyo tunawaomba mrejee kwenye nyakati za dhama zetu
Kuna jamaa umemsahau nadhani jooh tafuta story zake naye ni za kweli
 
Wala sio brother na mimi sikua mchimbaji nilianza kununua kidogo kidogo na kuwezesha wachimbaji.... Mbona mimi bd sana hata 40 sina[emoji16][emoji16][emoji16]...
Nashukuru niko mahali sijutii hii kazi kabisa pamoja na matatizo yake mengi ila imenitoa mbali na kunifikisha nisipopatarajia
Ok bro pambana sana maana Muda ni mchache na watoto wanaitaji kutengenezewa mazingira.
Big up sana kwako...
 
Eti ni kweli hii kazi bila ushirikina hautoboi?
Naomba uwe mkweli...

Sio kweli kabisa ushirikina ni tabia ya mtu binafsi na Imani zako ..
Mimi binafsi toka utoto wangu sijawahi yaona hayo kwetu na mimi sijawahi ya amini mpaka umri huu wa miaka 39...
Mimi ni mtu wa kuamini Imani yangu..ushirikina naona ni ujinga fulani hivi mtu rizki inaletwa na Mungu
 
Back
Top Bottom