Tukio la kusisimua nililolishuhudia kwa macho yangu katika msitu wa Nairoto

Tukio la kusisimua nililolishuhudia kwa macho yangu katika msitu wa Nairoto

mimi miweke hapa hapa habari yangu kuhusu machimbo haya na actually siyo machimbo ni harakati za kusaka mali alizoacha mjerumani wakati wanaondoka kutuachia nchi

kuna kitu tunafumbwa sana tunafichwa ukweli,wakoloni walipanga kila kilichotokea kwenye makoloni yao na hata yanayotokea sasa yalipangwa na wanajua nini kitafatia baada hata ya miaka kumi kuhusu nchi hizi masikini za afrika

kwamba walijipanga kuondoka ni KWELI,na uhuru hatukupigania,ni wao walipanga sasa watatutawala kwa namna nyingine ili waende wakajenge nchi zao huku wakiendelea kututawala kwa mbali na kuchuma mali zao...viongozi wote wanaokuwa madarakani ni vibaraka wao,hakuna hata mmoja mzalendo wa kweli na nchi yake

nina ushuhuda wa kusema haya,moja kati ya makubaliano yao ilikua ni kuacha mali zao salama na jukumu la serikali ni kuzilinda na kuwaruhusu wakija zichukua hata baada ya miaka mia,haya yapo kimkataba na kila raisi anayeingia madarakani anaambiwa hizi siri....na waliacha mali kweli za kutosha

story yangu sasa inabase kwenye hizi mali,hapa ni madini waliyoacha kwenye misitu ya nyumbanitu huko njombe,safari ya kuzifata hizo mali zilifanya nipoteze ndugu zangu watatu na mimi kunusurika chupu chupu ila kubaki na ulemavu...sitasahau hii safari ya machozi,jasho na damu.

ngoja nikaoge nakuja...
Pale chita kambini morogogoro kuna mwamba mmoja ambao chini yake kuna milango mitatu ambayo imefungwa na makufuli fulani sio ya sayari hii. Naskia walishajaribu kugonga hadi grenade lakini wapi. Inasemekana mle ndani kuna mali
 
Nisahihishe jambo moja, maranyingi huwa sipendi kuandika kutokana na kazi zangu.

Mimi sio muajiliwa, mimi ni mchimbaji, kwa hiyo maisha yangu ni yakushea na washkaji.

Some time naweza nikawa naandika jambo mala anatokea mtu (rafiki) anaanza kuniongelesha, kwa hiyo inanibidi niache kuandika nimalizane nae kwanza.

Kwahiyo munisameh kwa hilo.


************************************************************************,,*************

Kwenye safari ile nakumbuka niliongozana na mdogo wangu (Mtanzania mwenzangu pia kabila letu ni moja ) Dogo Chiko.

Tulitoka Nanhupo kuelekea nairoto kwenye dhahabu.

Tulifika Nairoto kijijini kisha pakesho yake tukaelekea polini (machimbo)

Kwanza pale kijijini tulikutana na umati wa watu usipime.

Kila mtu akiwa na shauku ya kufika polini.

Kesho yake palipo pambazuka kila mtu alikua tayari kwa safari ya kuelekea polini, me na chama langu (dogo Chiko ) tuliukanyaga kwa mguu kutokana na kutokua na nauli ya piki piki.

Nauli kwa mtu mmoja kutoka pale kijijini kwenda polini ilikua 500 quinhento miticais sawa na 25000 ishirini na tano shilling.

Tuliukanyaga mwendo wa masaa 12 kwa mguu, nakumbuka tuliingia matandani kama mida ya saa moja usiku hivi.

Lakini kwa mgodini (japo ni polini) tulikuta kama tuko mtaa wa kongo.

Watu ni wengi mno, vijana wa kiume na wakike, mabibi na mababu, mpaka watoto wa miaka 7.

Kila aina ya laana ilikua inapatikana huku, Vifo (kuuana) ubakaji, kutiana vilema yani ni kama kupakaa mafuta tu.

Pombe gani unayo itaka utaikosa, Heineken,Savana, breezer na mapombe kibao ya gharama.

Malaya kutoka kila pembe ya Africa.
Wamalawi, Watanzania, na wenyewe Mocambique.

Kiufupi huu ulikua uwanjani wa madhambi.

Nakumbuka nilifanya kazi kama week mbili tu, mala ghafla ukaibuka ugonjwa wa ajabu matandani pale.

Watu walikua wakibadilika rangi na kuharisha mwisho kifo.

Yani unaweza kukaa na mshikaji mala ghafla akaanza kubadika rangi ya macho yake, akienda kujisaidia akirudi (wengine walikua hawarudi) unamuona mwili wote ume badilika rangi kawa wanjanoo, hapo amalizi saa munamkimbia.

Halii hii ilitamba siku mbili tu, siku ya tatu matanda yote nyeupe.

Watu wote tulikimbia kurudi kijijini, sasa balaaa lilikua njiani.
Watu wengi walifia njiani, tulio tusua ni wachache sana.

Nakumbuka msafara wetu (wakurudi kijijini) ulikua na watu 8, kati ya hao wawili tuliwaacha njiani, (walifia njiani).

Moja kati ya watu hao ni Rafiki yangu kipenzi (mdogo wangu) Dogo Chiko, na mshikaji alieitwa Wamisunjo (Mateas)

Nakumbuka tulikiamsha kutoka matandani pale mida ya saa4 asbuh, tulitembea umbali mrefu, mdogo wangu Chiko akatuambia tumngoje anaenda kukata gogo (kunya)

Tulimngoja, tulikaa chini mwenye sigara aliwasha, mwenye bange lake alilipua, mwenye maji alikunywa.

Muda ulipita mara Chiko akarudi, na safari kuendelea.
Lakini kila tulipo muangalia usoni, macho yote yame badilika rangi nakua yanjano.

Tukampa maji na safari ikaendelea.

Hatukufika mbali sana, Chiko akaomba tumsubiri anakwenda tena kujisaidia.

Tilipu hii tulimngoja bila dogo kurudi, ikabidi mshikaji mmoja amfuate.
Alipo fika kule alimkuta chiko kesha kufa.
Jamaa akatuita tuje kumcheki, nikiwa mingoni mwao nilimkuta dogo amesha kauka pale alipo kaa.

Kwakua tangu tuna toka matandani tulishaambiana kua ugonjwa huu ni kipindu pindu, hivyo ukifa hakuna mtu alie thubutu kukushika.

Kwahiyo Dogo Chiko tulimuacha hapo na sisi kuendelea na safari.

Nitarudi muda si mrefu.
Mkuu
Ungekuwa una update juu kwenye uzi
Huku unatupoteza
 
We jamaa nadhani you're still narrow minded person. Wenzako tunasimulia ishu ambazo zimetusumbua kipindi fulani maishani ili mjifunze we unaleta kilichoujaza moyo wako! Kwani sijasema huko juu yule mzee mwenye ndevu (jini alikuwa anataka nini?)
Umejawa na mawazo potofu, mawazo maovu. Omba Mungu ayabadirishe mawazo yako, jikite kwenye kusoma positive issues something that will help you to be positive minded person na sio kuwa wicked as how you're right now.
We mdwanzi nini sasa kwanini hukumalizia alikua anataka nn. Vile vile kama hujajaza mawazo mabaya kichwani mwako pia kwako tigo maana yake nini pimbi we
 
huna hata haya kusimulia kutoroka jeshi jinga wewe. kwa hiyo hapo umeridhika kula ugali wa shikamoo mama
ndio nyie tunawaimbaga kwenye chenja mananga wakubwa
Mkuu huko sikuiona vision yangu baada ya kuhitimu jkt nilitakiwa niingie tma nibebe 2stars hotels begani. Ila nikaambiwa mpaka nipitie RTS kwanza na huku wapo walioenda huko bila ya RTS na kumbuka wapo wanaotoka uraiani na kuzama huko direct tma bila ya majakata.

So nikaona sio Ishi life is not all about being in military. Pia ile lifestyle yao sikuipenda.

Ila mafunzo niliyapenda sana hata wanangu nitawapeleka wapate mafunzo ila sio kuwa wanajeshi. Sishauri
 
kufupisha habari sababu ni uzi wa watu

mimi sina habari yeyote wazee,laleni tu...

samahanini kwa usumbufu
Hahahaha dah mkuu utakuwa umetukatili sana watu wengi kwasababu ya kukosa uvumilivu kwa watu wachache wanaoshindwa kusubiri.

Umeshatuonjesha mkuu kwa heshima na taadhima naomba umalizie tu hii story nadhani wengi tutajifunza mambo mango.
 
Hii ni 2015, ni story tu niliyo ikumbuka baada ya kukutana na Rafiki yangu niliye kuwa nae kwenye tukio hili.

Kumbuka jamaa tulipotena katika heka heka za kutetea uhai wake kila mtu.

Tangu siku hiyo, ndio nimekutana nae juzi.
Mkuu,na.Mbongo kupigwa shoka na Mrundi ilikuwa 2015 ?
Maana ulipotea hapa kwa excuse ya kuwa Hospital kwa Mwana
 
Back
Top Bottom