Tukio la kusisimua nililolishuhudia kwa macho yangu katika msitu wa Nairoto

Zamani sana pale jirani na kwa bamkubwa Chamwino kuna kakijiji kanaitwa nzuguni,kuliibuka Chimbo dhahabu inatema mi dogo tu wa 12-14,
nilikua najichanganya sana na maanko wangu alafu walikua watu wa vagi na ubwiii ile mbaya,
sasa walinipenda kwasababu mlinzi wao huko wakipakaza,likianzishwa nzegembe mi nachukua wallet na mali zote zinazohamishika kisha nayeya home.
Machimbo yalipoanza Nzuguni tulienda hawakuniacha bodyguard wao.
Duh kufika kule nilichoka jamaa anachosimulia ni kweli kabisa.
uzinzi,pombe,bangi, kila aina ya uasi unaukuta .ushangae sasa machimbo hata mwezi hayana.
sisi tulikua na kagroup ketu mtu nne wote mayanki tu na tulikua tunachakata vumbi tu lile.
siku kadhaa tukapatapata vimawe viduuchu yani kwenda kuuza tukagawana kahela kadogodogo tu.
Ila mi niliridhika nikasepa nikawaacha maanko maana wao hata ndoto ya kurudi hawana ilikua km wamefika nyumbani,sio hata wachimbaji wao ilikua ni pary pary tu.bangi pombe mabibi na daily wana hela wale jamaa aisee
Ila walikua mafundi malori wazuri sana KAUDO pale na Madereva.
Ule mgodi ulikatika ghafla tu,upo hapo Chamwino pembeni kushoto ukiwa unaenda kwa baba mkubwa.
Nakumbuka enzi za machimbo hayo ya Nzuguni nilikuwa form 3 pale Dom Sec.. Cjui tatizo lilikuwa nini maana Yale machimbo hayakudumu muda mrefu.
KAUDO.....kitambo sana...kipindi hicho kampuni za uchukuzi mikoani hazijafa.
 
Hayakudumu kabisa maana mi niliondoka mapema tu nilienda huko kuwa na company tu na ma anko zangu ila nilikua njiani kwenda boarding school Mbeya so wala sikukaa huko ila likizo narudi kuuliza jamaa wanasema aah kule long time tushafukuzwa hamna machimbo tena
 
Nlivyomwelewa mkuu Kitoabu hyo scene ya mbongo na mrundi haijatokea 2015.
Imetokea majuz tu hapa na ndo iliyokuwa ina mdistract muda mwingine kuleta mwendelezo wa hyo stori yake iliyotokea 2015
Read between the lines Mkuu
Kwanza nikiri kuwa Mkuu Kitoabu anatuchangamsha sana kwa Real life story & experiences, ni hilo tu.
Kusema anakuwa distracted na issues on ground ndio anakatiza Mara kwa Mara ni Chumvi tu katika kuendelea kukupa hamu Msomaji wake.

Ingekuwa ni kwenye Tasnia yetu ya Utongozaji basi tungesema Jamaa anajua kukujaza Nyege hahaha.

Kimsingi Jamaa anajua ku play na hadhira yake
A typical story teller , an artist
 
mimi miweke hapa hapa habari yangu kuhusu machimbo haya na actually siyo machimbo ni harakati za kusaka mali alizoacha mjerumani wakati wanaondoka kutuachia nchi

kuna kitu tunafumbwa sana tunafichwa ukweli,wakoloni walipanga kila kilichotokea kwenye makoloni yao na hata yanayotokea sasa yalipangwa na wanajua nini kitafatia baada hata ya miaka kumi kuhusu nchi hizi masikini za afrika

kwamba walijipanga kuondoka ni KWELI,na uhuru hatukupigania,ni wao walipanga sasa watatutawala kwa namna nyingine ili waende wakajenge nchi zao huku wakiendelea kututawala kwa mbali na kuchuma mali zao...viongozi wote wanaokuwa madarakani ni vibaraka wao,hakuna hata mmoja mzalendo wa kweli na nchi yake

nina ushuhuda wa kusema haya,moja kati ya makubaliano yao ilikua ni kuacha mali zao salama na jukumu la serikali ni kuzilinda na kuwaruhusu wakija zichukua hata baada ya miaka mia,haya yapo kimkataba na kila raisi anayeingia madarakani anaambiwa hizi siri....na waliacha mali kweli za kutosha

story yangu sasa inabase kwenye hizi mali,hapa ni madini waliyoacha kwenye misitu ya nyumbanitu huko njombe,safari ya kuzifata hizo mali zilifanya nipoteze ndugu zangu watatu na mimi kunusurika chupu chupu ila kubaki na ulemavu...sitasahau hii safari ya machozi,jasho na damu.

ngoja nikaoge nakuja...
Ukishataja Nyumbanitu dah naanza kuwa interested na story yako, ule msitu ni noma
 
Baada ya kubembelezwa saaaana huko DM kwa kutumiwa hadi wadada kuniahidi tunu basi nimebadili mawazo sasa nitasimulia habari ya safari yetu ya kutafuta mali (RUPIA) humo msitu wa NYUMBANITU

(achaneni na utani wa hapo juu) sasa twende taratibu,matukio mengi nitafupisha tu kufanya story kueleweka

Kwa wasiojua...Nyumbanitu iko Njombe wilaya ya wanging’ombe kuna mahala panaitwa Mdandu huko,ni msitu wenye habari za kutisha sana wenyeji wa huko hakuna sehemu wanapaheshimu kama hapo

Huu msitu cha kwanza uko na wanyama wasio wa kawaida kabisa na wanapatikana huko tu,kuna kuku fulani weusi tiii na midomo myekundu,hawa wanaishi humo na hakuna anayewahudumia kwa chakula wala matunzo...pia kuna ng’ombe n.k wote hawa ni kwa ajili ya matambiko ya makabila mbalimbali ya mkoa wa Njombe,zamani ikiwa wilaya ya Iringa,,haswa wabena na wakinga.

Kuna ukoo kule unaitwa wa akina Mkongwa,hawa ndio wamiliki halisi wa huo msitu na inasemekana wao wakifa huwa wanageuka kuwa nyoka na wanaishi huko kwenye huo msitu...kwa waliofika kutalii kuna wazee wako nje huwa wanatoa maelekezo ya namna ya kuingia humo na mila za humo,kama una roho nyepesi unaweza ishia tu kufika mlangoni ukarudi zako ulikotoka...unapigwa mkwara mlangoni na moja kati ya issue unapaswa kujipanga ni kwamba kama mwanamke usiende ukiwa kwenye HEDHI sababu mizimu humo ikisikia tu harufu ya damu wote mlioongozana na huyo mnapotea na hamuwezi onekana hadi wazee wa mila wafanye yao...

achana na hayo...

kilichotutia tamaa sisi kuhusu humo ndani ni story za uwepo wa RUPIA za mjerumani bwanaaa...na hakika zipo na zilikuepo,tulichogundua wale wazungu washenzi sana,hii ya kujenga hofu watu wasiende humo kwa kujiamini ndio imefanikiwa kuziacha mali zao salama mule msituni...wazungu akili nyingi sana,humo wamepandikiza uchawi mkali sana na unalindwa na hao wazee wa mila bila wao kujua wanalinda mali za watu....

ilikua 2001 mwezi wa 12 sasa tukiwa na jamaa zangu tukapanga mkakati wa kuingia mule bila kufata sheria zao za kichawi...maana ukifata protocal kuna maeneo huruhusiwi kufika na ndio inasemekana yana mali

kuna mapango makubwa inasemekana yakitumika wakati wa vita...kwa story tulizopata ni kwamba hizi mali zimefichwa kwenye masanduku makubwa yananing’inia kwenye mapango/mahandaki yaliyoko ndani kabisaaaa wanakosemaga ndio anakaa mzee mwenye msitu,ingawa kikweli huko sababu ya giza na kutisha basi kumekua makazi salama ya nyoka wakubwa wa kila aina na hao kuku wa kichawi ndio chakula chao...

tukiwa tumejipanga,plan ilikua ni kazi ya usiku mmoja tu tunamaliza tunarudi na mali na utajiri wetu...kulikua na habari kwamba soko ya rupia ni uhakika...

nikirudi naanzia sasa kwenye safari yenyewe kuingia msituni nyumbanitu

..........
 
Ukuje fasta
 
Mkuu unga sasa hivi
 
Watu wa bongo movie sjui wanakwama wapi hii story kuhusu Nairoto Forest ni bonge moja la Movie kama watakua serious na hii ya Nyumbanitu inaonekana kabisa kama watajipanga wanaeza kutoa movie ambayo inaeza ikawa Nominated ktk Oscar Awards
 
Popcorn time
 
nitakua naandika kwa vituo tuvumiliane...nilishawahi andika thread ndefu saaana kipindi fulani simu ikazimaga ghafla kila kitu kikapotea

plan yetu kuingia mwezi wa 12 ilikua sababu ile ni miezi ya kula mavuno kwa wakazi wa Njombe wanajua huu ni msimu wa mvua na watu wengi ndio huwa wanaenda kutambika huko malori kwa magari ya kifahari...hata hao kuku huwa wengi na habari ni kwamba hata mali ndio inakua nyingi,inasemekana huwa inakuja mali na kupotea na ishara ni hao kuku kuwa wengi na kupungua

tulikua watano,1.mimi ,2.mobu (marehemu) ,huyu alikua mkinga alikua ana mishe za kupasua mbao kwa msumeno wa mkono shimoni(waliokaa njombe wanajua hii style ya kupasua mbao) 3.usungilo (marehemu) naye alikua na mishe za kupasua mbao,kwao ni bulongwa makete huko 4.mangi(alitoka mzima) huyu tulifanikiwa kutoka naye ila baada ya kutoka alikaa kama wiki moja akaanza onesha dalili za kuwa kichaa,na akawa kichaa kweli akaondokaga pale njombe hadi leo sijui habari zake (mungu amrehemu huko aliko) 5.mwaikambo (marehemu) jamaa wa mbeya alikua naye kaja kuhangaika na maisha tu Njombe.

Nirudi kwangu mimi kwanza kidogo,by then mimi nilikua mwajiriwa kiwanda cha chai,ajira siyo ya kitaalamu lakini kipato cha kuweza kuwanyanyasa hao jamaa zangu wote kiuchumi...wanangu sana,tunakutana kijiweni tunawa washkaji haswaa...kwenye hii safari mimi ndio nilikua master planer,sababu labda ya kuwa na kauli...mangi ndio alikua kama mwenye maono yote na alikua na njaa sana na hii mali...kwahiyo kupona kwangu mimi ilikua sababu sikua mstari wa mbele kuingia ndani kabisa ya pango kwenye hayo masanduku..

usiku tar 22/12 tukiwa na kila kitu cha kuingia kufungua masanduku tukaenda mdandu...fika tukiwa tushapiga mitungi yetu wanangu wako mbele mbele tukaingilia upande mwingine kabisa wa msitu ambako hata hakuna watu...hakuna kibaya hapo,tunakata majani kwa mapanga na miti midogo kupata njia...tumetembea zaidi ya masaa mawili msituni ili kuja unganisha na njia ya kule wanakoingilia watalii...na sababu tayari tulikua ndani hatukuonekana na wale wazee kule nje pamoja na walinzi wa msitu

wazee...mule ndani ni giza totoro,tochi zetu za mawe zile za kuitwa KURUNZI.,,,betri tatu tatu,tukafika tukaipata ile sasa njia ya ndani kabisa kwenda mapangoni...humu mchana kunatisha saanaaa,sasa imagine usiku inakuaje,hakuna story hapo na kama ni kuitana ni kwa sauti za chini sana,hofu ilikua kubwa na mvua sasa ikawa imeanza kupiga...baridi ni kali sana msituni

tumeendaaaa tukafika sasa kwenye mlango wa pango hapo ndio visa vilipoanzia...kule ndani usiku wanyama ndio wanakua active sababu ya ratiba labda za utalii so usiku pango ndio zinakua na fujo...tukaanza liingia pango bila uoga,mwendo kama wa dakika 30 hivi...huko ni kusikia tu sauti za wadudu na wanyama wadogo..tukamaliza hiyo zone ya zile pango za kitalii sasa tukawa kwenye mwisho ambako watu huwaga hawaruhusiwi kusogea zaidi ya hapo kwa imani kwamba watapotea hawatorudi.

na ndio habari ya vifo vya ndugu zangu watatu,kichaa cha mangi na ulemavu wangu inaanzia hapa...

ulemavu wangu wala usiwape wazo...ni kwamba niliumwa na nyoka huko nikafanikiwa kwa kudra za mungu tu kuokolewa kwa kukatwa mguu wa kushoto..

nitarudi..
 
Watu wa bongo movie sjui wanakwama wapi hii story kuhusu Nairoto Forest ni bonge moja la Movie kk

Inavutia sna na inatisha yani hapa kma nona hayo matukio aseeh niko hapa niko na wew mstar kwa mstar nukta kwa nukta..!! Kwanza pole kwa kukatwa mguu kabla hujamaliza.
 
Back
Top Bottom