The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 41,015
- 93,277
Lile c bweshu lile a.k.a troll [emoji3][emoji3][emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lile c bweshu lile a.k.a troll [emoji3][emoji3][emoji3]
Mkuu tulifunga timber ila kama siku yako huwezi kukwepa.. mpaka leo sisahau sauti zao dah inauma sana.. nakumbuka nilivyo ona hapa nakufa nika wambia washikaji kwa herini jamaa waliongea kwa uchungu kwahiyo unatuacha tunakufa dah... kushika kamba nimevutwa kufika kati kamba ikakatika nikarudi chini hapo nikajisemea moyoni huu ndo mwisho wangu.. dah jamaa chini wanalalamika mi niko hoi damu tu.. kipindi icho nilikua na miaka 17 tu mkuu.. nisingeweza kufanya kitu..siku amemaliza period anaoga vizuri halafu anapaka juu juu tu.....then baadae akioga athari inapotea..
Kukugusa hawawezi sababu ya imani yako,ila yanaishi premise moja na wewe?[emoji1][emoji1][emoji1] Hawawezi hata kunigusa,katika harakati nilishapelekwa kwa wataalamu kadhaa mikoa mbali mbali baadhi yao nao walibaki kushangaa nimewezaje kupona katika maswaibu waliyoyaona cha kukuhakikishia hata dawa za waganga woote niliowahi kupelekwa hazikuwahi kufanya kazi katika mwili wangu mbali na majini ya kifo niliyokuwa natumiwa kushindwa hata kunigusa tu,kuna mizimu ya koo kuna kipindi mila zilitakiwa kufanyika walishindwa nifanyia dawa zao sababu ya kushindwa kunigusa, kuwa na imani mzee utafaidi sana huu ulimwengu
Nakwambia na wewe unayo,tena yana jambo na familia yako.Sizani sababu sijawahi fikiria hilo wala kulifanya kwa kumpa mtu connection maana wao kwa maelezo hawakuwahi kushirikiana na binadamu wala mtu katika utawala wao,mimi ndio wa kwanza siwezi shauri uhitaji hilo sababu naona walio nao wengi huendeshwa na hao viumbe sijui imekuaje jamii hii niliyokutana nayo mimi ndio maana wengi hustaajabu
Sent from my Infinix X573S using JamiiForums mobile app
Ingekua kitu kibaya tusingeweza kuwa karibu kwa kipindi chote hiki, namuamini sana Mungu kila jambo langu namtanguliza yeye tu na majibu sahihi nayapata kwa wakati nilitangulia kusema kama ingekua tofauti naamini ningeshapata ishara kwa kuwa kila mara napata ishara kwa kila jambo lenye uhitaji wa roho, hawaishi kwa mke wangu na nnapozungumzia kunigusa ni kama nahitaji dawa ya kitu fulani na wao wanatakiwa wanipe kwa form yao ambayo mimi siwaoni wakija sasa mara nyingi mke wangu hushtuka na kusema kuna mtu kaja kukupa dawa kashindwa kukugusa na wao huniambia kitu hiko hikohaiwezekani sababu hatuwezi kukugusa,hulazimika kuleta kwenye chupa au kikombe na hata nikitumia haileti matokeo haifanyi kazi kwanguKukugusa hawawezi sababu ya imani yako,ila yanaishi premise moja na wewe?
Hayakugusi vipi wakati yanaishi kwa mkeo na wewe unamlala mkeo?
Ngachoka!Ingekua kitu kibaya tusingeweza kuwa karibu kwa kipindi chote hiki, namuamini sana Mungu kila jambo langu namtanguliza yeye tu na majibu sahihi nayapata kwa wakati nilitangulia kusema kama ingekua tofauti naamini ningeshapata ishara kwa kuwa kila mara napata ishara kwa kila jambo lenye uhitaji wa roho, hawaishi kwa mke wangu na nnapozungumzia kunigusa ni kama nahitaji dawa ya kitu fulani na wao wanatakiwa wanipe kwa form yao ambayo mimi siwaoni wakija sasa mara nyingi mke wangu hushtuka na kusema kuna mtu kaja kukupa dawa kashindwa kukugusa na wao huniambia kitu hiko hikohaiwezekani sababu hatuwezi kukugusa,hulazimika kuleta kwenye chupa au kikombe na hata nikitumia haileti matokeo haifanyi kazi kwangu
Sent from my Infinix X573S using JamiiForums mobile app
[emoji1][emoji1][emoji1] Haitatokea na haiwezi tokea labda kwa mapenzi ya Mungu tofauti na hapo kamwe, kujitambua ni jambo jema sana Mungu ametujaalia.Nakwambia na wewe unayo,tena yana jambo na familia yako.
Si ulisema huwa yanampanda??Ingekua kitu kibaya tusingeweza kuwa karibu kwa kipindi chote hiki, namuamini sana Mungu kila jambo langu namtanguliza yeye tu na majibu sahihi nayapata kwa wakati nilitangulia kusema kama ingekua tofauti naamini ningeshapata ishara kwa kuwa kila mara napata ishara kwa kila jambo lenye uhitaji wa roho, hawaishi kwa mke wangu na nnapozungumzia kunigusa ni kama nahitaji dawa ya kitu fulani na wao wanatakiwa wanipe kwa form yao ambayo mimi siwaoni wakija sasa mara nyingi mke wangu hushtuka na kusema kuna mtu kaja kukupa dawa kashindwa kukugusa na wao huniambia kitu hiko hikohaiwezekani sababu hatuwezi kukugusa,hulazimika kuleta kwenye chupa au kikombe na hata nikitumia haileti matokeo haifanyi kazi kwangu
Sent from my Infinix X573S using JamiiForums mobile app
Mwanzo sababu ilikua anadondoka wanapoingia na kutoka na yeye kuhisi kubanwa na kifua baadae wakanisihi nisiwaite mara kwa mara sababu mke wangu anaumia,hadi walipopata njia ambayo hata wawe mbali vipi wanaweza wasiliana kupitia kinywa chake bila wao kuwepo,au wakija hawezi hisi uwepo kabla au baada hata tuwe kwenye halaiki ya watu si kama ilivyo kuonyesha ishara kuna kitu kimepanda kwake hapana huzungumza na kuondoka bila hata jirani kuhisi mabadiliko, huwa wanakula ikipikwa husema baadae au kabla na yeye muusika atakula anaweza kula kwa form yake bila kumuona au kula kupitia kinywa cha mamaSi ulisema huwa yanampanda??
Na hicho kitimoto huwa wanakulaje?
Ha ha haMwanzo sababu ilikua anadondoka wanapoingia na kutoka na yeye kuhisi kubanwa na kifua baadae wakanisihi nisiwaite mara kwa mara sababu mke wangu anaumia,hadi walipopata njia ambayo hata wawe mbali vipi wanaweza wasiliana kupitia kinywa chake bila wao kuwepo,au wakija hawezi hisi uwepo kabla au baada hata tuwe kwenye halaiki ya watu si kama ilivyo kuonyesha ishara kuna kitu kimepanda kwake hapana huzungumza na kuondoka bila hata jirani kuhisi mabadiliko, huwa wanakula ikipikwa husema baadae au kabla na yeye muusika atakula anaweza kula kwa form yake bila kumuona au kula kupitia kinywa cha mama
Sent from my Infinix X573S using JamiiForums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji106]Ha ha ha
Haiya bwana!
Mimi au wewe mkuuNzuri sana,umepotea sana
Mimi au wewe mkuuNzuri sana,umepotea sana
dah pole mkuu.....iko issue moja ntakuja kuhadithia hapa kwa heshima ya jukwaa....pole mkuu kupigwa na duara sio jambo dogo..Mkuu tulifunga timber ila kama siku yako huwezi kukwepa.. mpaka leo sisahau sauti zao dah inauma sana.. nakumbuka nilivyo ona hapa nakufa nika wambia washikaji kwa herini jamaa waliongea kwa uchungu kwahiyo unatuacha tunakufa dah... kushika kamba nimevutwa kufika kati kamba ikakatika nikarudi chini hapo nikajisemea moyoni huu ndo mwisho wangu.. dah jamaa chini wanalalamika mi niko hoi damu tu.. kipindi icho nilikua na miaka 17 tu mkuu.. nisingeweza kufanya kitu..
Asante sana!dah pole mkuu.....iko issue moja ntakuja kuhadithia hapa kwa heshima ya jukwaa....pole mkuu kupigwa na duara sio jambo dogo..
Tutupie na hio yako ya DRC maana napo siopoa hukooHii story imenikumbusha tulivyojitosa huko Tshikapa DRC kwenye migodi ya almasi
naaam.swahab mfupi kabisa alikua sio handsomeHahahaa mkuu unaijua habari ya kweli ya maisha ya julaybiib!?...
Jamaa hanaga hiyana aisee anashuka na Likes mwanzo mwisho[emoji38][emoji38][emoji38]Maana sio kwa likes hizo[emoji2][emoji2][emoji2]
Mi naona kama wameamua kukubrainwash tuIngekua kitu kibaya tusingeweza kuwa karibu kwa kipindi chote hiki, namuamini sana Mungu kila jambo langu namtanguliza yeye tu na majibu sahihi nayapata kwa wakati nilitangulia kusema kama ingekua tofauti naamini ningeshapata ishara kwa kuwa kila mara napata ishara kwa kila jambo lenye uhitaji wa roho, hawaishi kwa mke wangu na nnapozungumzia kunigusa ni kama nahitaji dawa ya kitu fulani na wao wanatakiwa wanipe kwa form yao ambayo mimi siwaoni wakija sasa mara nyingi mke wangu hushtuka na kusema kuna mtu kaja kukupa dawa kashindwa kukugusa na wao huniambia kitu hiko hikohaiwezekani sababu hatuwezi kukugusa,hulazimika kuleta kwenye chupa au kikombe na hata nikitumia haileti matokeo haifanyi kazi kwangu
Sent from my Infinix X573S using JamiiForums mobile app