Je wamewahoji, kama hawajawahoji na kumpima mhusika kwanini wana conclude alikuwa amelewa.Kutokana na taarifa ya jesh ni kuwa hakuna uthibitisho wa mtu mwingine yeyote wa kuwa Mh Mbowe alishambuliwa zaidi ya "Mbowe mwenyewe na dereva wake."
Sawa wamewahi lkn kuwe na logic basi ili watu wauone ukweli, hata kama wameamua kudanganya basi watu wapate shida kuuona uongo.Si mlisema polisi wanacheleweshaga uchunguzi??
Haya sasa wamewahi
Logic za nini??Sawa wamewahi lkn kuwe na logic basi ili watu wauone ukweli, hata kama wameamua kudanganya basi watu wapate shida kuuona uongo.
Kutokana na taarifa ya jesh ni kuwa hakuna uthibitisho wa mtu mwingine yeyote wa kuwa Mh Mbowe alishambuliwa zaidi ya "Mbowe mwenyewe na dereva wake."
Huyu tunamtambua kama baharia mwenzetu sio tena nanilii wa upinjani chijui..😜Kumtetea Mwenyekiti Bado sana
Kiki yake Imebuma
Alitaka kugeuza Upuuzi wake kuwa mtaji wa siasa hovyo kabisaView attachment 1476988
Kumtetea Mwenyekiti Bado sana
Kiki yake Imebuma
Alitaka kugeuza Upuuzi wake kuwa mtaji wa siasa hovyo kabisaView attachment 1476988
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Si mlisema polisi wanacheleweshaga uchunguzi??
Haya sasa wamewahi
Nani kamtetea, tunahoji utendaji kazi wa jeshi la polisi, mhusika mkuu alihojiwa au wamekuja na majibu yao waliyopanga?Kumtetea Mwenyekiti Bado sana
Kiki yake Imebuma
Alitaka kugeuza Upuuzi wake kuwa mtaji wa siasa hovyo kabisa
Sawa wamewahi lkn kuwe na logic basi ili watu wauone ukweli, hata kama wameamua kudanganya basi watu wapate shida kuuona uongo.
Tarehe 9 mwezi huu Mwenyekiti wa Chadema Taifa Mh. Mbowe alishambuliwa na kuvunjwa mguu na watu wasiojulikana, ni takriban siku 3 tu tayari polisi wamefanya uchunguzi na kuja na matokeo.
Lissu alishambuliwa tarehe11/9/2017 hadi leo karibu miaka mitatu 3, polisi wanadai wameshindwa kuendelea na upelelezi kwa vile hawajamhoji Lissu na dereva wake.
Kama wameweza kwa Mbowe bila kumhoji inashindikana nini kuendelea na upelelezi tukio la kushambuliwa Lissu hadi wamsubiri yeye na dereva wake.
Taarifa ya madaktari ilionyesha alikua kalewa tena chakariiJe wamewahoji, kama hawajawahoji na kumpima mhusika kwanini wana conclude alikuwa amelewa.
Kasome tena taarifa ya polisi, hakuna sehemu Mbowe kahojiwa na polisi, polisi wamehoji mashuhuda tu, hizo quoted quotes ni za msemaji wa polisi siyo za Mbowe.Wakati msemaji wa police anasema walipomhoji mbowe hospitalini akasema wakati anapigwa alipiga kerere kuomba msaada wewe ulikuwa unasikilizia matako au hukuwa na mda wa kusikiliza?
Kama hukusikia narudia kama alivyosema msemaji wa police,
Mbowe baada ya kuhojiwa alisema, alitoka kwa joyce mukya na kwenda kwake, wakati anapanda ngazi akashambuliwa na watu wasiojulikana, akapiga kerere kuomba msaada, kisha dereva wake akaja kumchukuwa na kumpeleka kwa joyce mukya , na baadae wakaenda hospitali,
wakiwa huko hospitalini ndo wakapiga sim police, na police walipofika hospitali wakamhoji ila alikukwa kalewa chakali kipombe
Sasa hapo unauliza maswali gani tena bwashee?
Wewe usiye nyumbu unaamini nini.Kwaio unaamin Mbowe kavamiwa?[emoji1][emoji1][emoji1]
Ndiomana mnaitwa nyumbu hongereni kwa uzalendo
Mkuu nifafanulie ulichoandika maana mie sijaelewa kabisaKutokana na taarifa ya jesh ni kuwa hakuna uthibitisho wa mtu mwingine yeyote wa kuwa Mh Mbowe alishambuliwa zaidi ya "Mbowe mwenyewe na dereva wake."
Nani kakuambia kuwa mtu aliyepanga kukushambulia hata tekeleza nia yake kwa kuwa amekukuta umelewa?je ulevi pia siku hizi unaweza kumvunja mtu mguu? I thought kazi ya upelelezi ililenga kutuambia majeraha ya Mbowe yalisababishwa na nini.Anyway hii ndo Tanzania ya MagufuliTaarifa ya madaktari ilionyesha alikua kalewa tena chakarii