Tukio la Mauaji Dar, ni Ujambazi, Kisasi au Ugaidi? Tujifunze kitu

Kwa alivyokua ameshika silaha na kuzimudu kuzitumia vizuri ni mtu mwenye mafunzo makubwa ya silaha swali kama alirukwa na akili bila kuwa na mafunzo angetumiaje hizo silaha je mafunzo hayo ya silaha ameyapata wapi.mswali ni mengi
 
Ukiandamana tu akakupiga risasi ukafa kesho anakutangaza kuwa ameuwa jambazi sugu au gaidi.
Ukiwasikiliza ni kama wanataka tuwasifie kumdhibiti Hamza kwa kummiminia risasi hata akiwa kaanguka chini.Hakukuwa na uwezekano wa kumkamata na kumfanya akawa shahidi ili kufahamu kiini cha tatizo?In oder to prevent further crimes,it was crucial to arrest rather than killing the culprit.
 
Huyu mtu alionekana kujisalimisha ....wangempiga risasi za miguu ili wapate ushahidi..cha ajabu walimmininia risasi hata pale ambapo alionekana Hana uwezo wa kupambana nao
 
CCM huwa mnawa-train wapi hawa 'VICHAA' kuja kutuletea taharuki za KIGAIDI na kuchafua taswira ya Taifa letu! Polisi wachunguze kwa kina kikundi cha GREEN GUARD, huyu alikuwa kijana wa CCM kindakindaki.

Kwa kuwa tukio limehusu eneo la Ubalozi, vyombo vya ulinzi vya Ufaransa vifanye uchunguzi. CCM watakuwa na kambi ya ku-train hawa watu.

Sijawahi kuielewa GREEN GUARD kabisa na UVCCM.
 
That was state of emergency the man was harzadous and fatal. Ingawa mienendi yake ikionekana hashambulii watu lakini kitendi cha kutembea njia nzima ana mimina risasi ilimfanya awe categorized as High Risk and Hamful person
 
Hawa ndio huwa wanateka na kutesa watu. tunaambiwa ni wasiojulikana
 
Uweledi duni wa kimedani,saa nzima la mpambano halafu operation inaisha vile!
Kama Ni movie Basi jamaa ameshinda japo kafa

1.Kwanza katawala eneo la tukio kwa muda wa zaidi ya nusu saa( most secured place.. balozi..TISS office..bank..polisi

2.kapokonya silaha mbili na kuua Askari 3 na mlinzi mmoja..

3.Kajisalimisha wamuue na wakamuua kweli...nadhani ilikuwa ni motive yake baada ya tukio

Polisi wetu wajitathmini katika hili.
 
Ndivyo ilivyo,Hamza alihitaji wamuue na wakafanya kama alivyotaka.POLISI hawaoni haja ya Ku preserve culprits/watuhumiwa kwa lengo la kupata evidences in criminal investigation.That's what I can observe in most cases.
 
Congrats, you are among the very few who have done justice with the pen they hold.
Informed in the context in which this acts has occurred , we must investigate whether it has links with transnational organized crime or/ and is linked to the consequent commission of serious crimes such as murder, extortion, assault or terrorism. Here, we should not exonerate police force on matters 'extortion' before conclusion of investigation .
 
Ukiangalia video na mashuhuda wa tukio wanavyo sema, hata polisi wasinge muua, agejiua maana alikuwa ameisha amua liwalo na liwe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…