olele
JF-Expert Member
- Dec 2, 2010
- 1,305
- 1,572
Kutokana na tukio la Moto lilitokea leo Magomeni Mapipa, na kuunguza kila kitu. Kwa wale wanaojua hilo eneo liko umbali wa mwendo dakika pungufu ya 10 TUkutoka makao makuu ya jeshi la zimamoto Tanzania na ukizingatia leo ni jumapili hakuna foleni, nyumba zilizoungua ziko barabarani kweupe kabisa.
Lakini hawa wakuu wameshindwa kuokoa nyumba zisiungue.
Je Jeshi la Zimamoto ni nini wanaweza kuzima???
au kazi zao ni kukusanya ada za Certificate na kufanya service mitungi
Lakini hawa wakuu wameshindwa kuokoa nyumba zisiungue.
Je Jeshi la Zimamoto ni nini wanaweza kuzima???
au kazi zao ni kukusanya ada za Certificate na kufanya service mitungi