Tukio la Moto lilitokea leo Magomeni Mapipa, na kuteketeza kila kitu

Tukio la Moto lilitokea leo Magomeni Mapipa, na kuteketeza kila kitu

Inaelekea mkuu either hujui uhalisia au umejifumba ufahamu, Swala la magari kuishiwa maji na hakuna options ni tatizo sana sana Tanzania na nimeshaona hii adha zaid ya mara moja,
-H alafu fire truck likibeba maji for a very long distance litafikaje kwa wakati liweze kuokoa mali, ni swala la common sense
Mfano-Mkoa kama Kilimanjaro mitaa ya uzunguni zamani wazungu waliweka sana hydrants na zingine mpaka leo zipo,na ni muhimu sana kwenye facilitation ya uzimaji wa moto. Kama umewahi kupata exposure ya kwenda USA nadhani utakuwa unanielewa vyema.
Mf. wa hydrants.
View attachment 2093557
Sasa Kama maji tu ya matumizi ya kawaida huwa yanapatikana kwa shida,itawezekana vipi kuwa na hydrants kama za US.
 
Sasa Kama maji tu ya matumizi ya kawaida huwa yanapatikana kwa shida,itawezekana vipi kuwa na hydrants kama za US.
Swali zuri sana, ukiitafakari Tanzania ni kama haijui inaelekea wapi, vipaumbele vyake havilengi kumsaidia mwananchi wa chini kama kupata huduma za msingi.
 
drones za kuzimia moto wataziwezaje kama magari tu yamewashinda
 
Tunachofeli kitu kimoja tu hili shirika la zima moto kama ni la serikali iwekwe sheria apewe dili mtu binafsi na kama la mtu binafsi apokonywe apewe dili mtu mwingine.. hili linatakiwa wapewe watu binafsi.. kama sijaeleweka tafuta maji ya baridi unywe
 
"Kazi zao ni kukusanya ada za Certificate na kufanya service mitungi"
 
Kutokana na tukio la Moto lilitokea leo Magomeni Mapipa, na kuunguza kila kitu. Kwa wale wanaojua hilo eneo liko umbali wa mwendo dakika pungufu ya 10 TUkutoka makao makuu ya jeshi la zimamoto Tanzania na ukizingatia leo ni jumapili hakuna foleni, nyumba zilizoungua ziko barabarani kweupe kabisa.

Lakini hawa wakuu wameshindwa kuokoa nyumba zisiungue.

Je Jeshi la Zimamoto ni nini wanaweza kuzima???

au kazi zao ni kukusanya ada za Certificate na kufanya service mitungi

View attachment 2093196
Nyumba za walalahoi hizo,ingekuwa nyumba ya mkubwa inaungua,hata kama ingekuwa mbweni!zimamoto ingefika
 
Back
Top Bottom