Nasasa wanatembea na bunduki kama majeshi mengine, wakija kwenye tukio hawana maji hakuna cha kuwafanya sana sana watawafyatulia risasi hewani mtawanyike
Kutokana na tukio la Moto lilitokea leo Magomeni Mapipa, na kuunguza kila kitu. Kwa wale wanaojua hilo eneo liko umbali wa mwendo dakika pungufu ya 10 TUkutoka makao makuu ya jeshi la zimamoto Tanzania na ukizingatia leo ni jumapili hakuna foleni, nyumba zilizoungua ziko barabarani kweupe kabisa.
Lakini hawa wakuu wameshindwa kuokoa nyumba zisiungue.
Je Jeshi la Zimamoto ni nini wanaweza kuzima???
au kazi zao ni kukusanya ada za Certificate na kufanya service mitungi
View attachment 2093196
Kujaza maji ni kazi yetu sisi au ni uzembe wao kwa kuwa zama za DelirahGari lilikua halina maji ndio maana wanachelewa
Duu poleni sana wahangaKutokana na tukio la Moto lilitokea leo Magomeni Mapipa, na kuunguza kila kitu. Kwa wale wanaojua hilo eneo liko umbali wa mwendo dakika pungufu ya 10 TUkutoka makao makuu ya jeshi la zimamoto Tanzania na ukizingatia leo ni jumapili hakuna foleni, nyumba zilizoungua ziko barabarani kweupe kabisa.
Lakini hawa wakuu wameshindwa kuokoa nyumba zisiungue.
Je Jeshi la Zimamoto ni nini wanaweza kuzima???
au kazi zao ni kukusanya ada za Certificate na kufanya service mitungi
View attachment 2093196
Hii picha yamaanisha Nini kiongozi?
Hapo mkuu umechapia! Ni lini zimamoto walikuja wakapuliza maji waliyokuja nayo yakaisha? Mara nyingi huwa wanaenda kwenye matukio ya moto hawana maji! Labda kwenye upangaji wa miji ungesema sehemu nyingi hazifikiki kwa barabara. Upande wa pipes za maji mbona zipo kwenye mabomba ya MORUWASA (sijui huko kwenu mnaitaje hiyo mamlaka?)Tatizo ni pana sana zaidi ya wazima moto wenyewe, changamoto imeanzia kwenye upangaji mbaya na hovyo wa miji yetu-kila mtaa ulipaswa kuwa na pipes kubwa za maji kwa ajili ya kusaidia magari ya zima moto kujazwa kwa haraka na kwa urahisi.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23]Wakiwa zao wanajinadi, watakwambia: ^Idara yetu yote iko imara; tumejipanga vizuri kukabili kila tukio la dharura kwa haraka, weledi na ufanisi wa hali ya juu.^