Tukio la Moto lilitokea leo Magomeni Mapipa, na kuteketeza kila kitu

Ndugu tulia, kwani hujui kuwa sasa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji limepewa meno zaidi mpaka kuruhusiwa kumiliki silaha za kivita?
Sasa hivi CHADEMA tukiandamana na 🔥 lazima wawepo
 
Kwa taratibu za kawaida pamoja na upangaji mzuri wa miji. Hizi fire 'fire hydrant' zinapaswa kuwepo katika sehemu zake. Kwani ili gari la zimamoto lifike kwa wepesi na haraka sehemu ya tukio linatoka kituoni likiwa na maji kiasi na kujazia maji kwenye hizo 'fire hydrant'' zilizoko barabarani. Lakini kwenu ni kinyume ni sehemu chache tuna fire hydrant na Nina wasiwasi hata kama hizo zilizopo kama Zina fanya kazi. Hili la moto ni janga kubwa kwa miji yetu. Hawa wadau wa mipango miji wafanye kazi ya ziada kuweka miji yetu salama
 
Hiyo taasisi Tz ilisha corrupt kitambo sana
 
Tatizo ni pana sana zaidi ya wazima moto wenyewe, changamoto imeanzia kwenye upangaji mbaya na hovyo wa miji yetu-kila mtaa ulipaswa kuwa na pipes kubwa za maji kwa ajili ya kusaidia magari ya zima moto kujazwa kwa haraka na kwa urahisi.
Hi sababu neo imekuwa ikitolewa hivi karibuni.
Wengi hatukujua.
Je, hata jeshi la zimamoto hawajui mahitaji yao yanayowawezesha kufanya kazi zao kwa ufanisi?
Kwa Nini hawaelimishi na kuhamasisha wananchi na serikali zaokuweka miundo mbinu hiyo?
Mbona wanahamasisha na hupita kukagua mitungi ya kuzimia Moto, badala ya kuangalia pia miundombinu ya ufanisi wa kazi yao Kama hizo pipes za maji nk!!!!
 
Mbona kama vilivyoungua ni vibanda vya chips/vyakula?

Sijui kama walikuwa wanajua wanapaswa kuwa na vizima moto kutokana na shughuli wanayofanya kuwa inayohisiana na moto tena ulipukao...
 
Hakuna jeshi la zimamoto Tanzania
 
Umtoe askar kwenye viti virefu weekend aje akuzimie moto?...ingawa ndo kaz yake na analipwa mshahara..hahhaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Justification ya drones za kuzima moto inatafutwa, sijui?
 
I mean hata kutoka hapo fire mpaka Karume haichukui dk 8 kwa njia za katikati plus moto umeanza usiku kukiwa hakuna foleni so ilitakiwa wawahi lakini sokol likaisha.

Majanga hua yanatuexpose sana Tanzania ubaya ni kwamba hatujifunzi. Tunakosea leo ila ikitokea same scenario tunakua kama vile ndiyo kwanza tumeguswa na tukio
 
Ccm wameharibu hii nchi..hakuna kinachofanyika cha maana..hela wanachukua kwenda kununua wapinzani na kupambana na chadema..bure kabisa.

Wekezeni kwenye hizi taasisi na maendeleo ya nchi.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kiufupi hatuna majeshi si zimamoto tu hata polisi na majeshi mengineo hamna kitu ni show off tu
 
Inaelekea mkuu either hujui uhalisia au umejifumba ufahamu, Swala la magari kuishiwa maji na hakuna options ni tatizo sana sana Tanzania na nimeshaona hii adha zaid ya mara moja,
-H alafu fire truck likibeba maji for a very long distance litafikaje kwa wakati liweze kuokoa mali, ni swala la common sense
Mfano-Mkoa kama Kilimanjaro mitaa ya uzunguni zamani wazungu waliweka sana hydrants na zingine mpaka leo zipo,na ni muhimu sana kwenye facilitation ya uzimaji wa moto. Kama umewahi kupata exposure ya kwenda USA nadhani utakuwa unanielewa vyema.
Mf. wa hydrants.
 
A very good and logical questions kaka, Accountability ni muhimu sana otherwise we are in the road to nowhere, na watu maskini ndiyo wanakuwa victimized.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…