Tukio la Moto lilitokea leo Magomeni Mapipa, na kuteketeza kila kitu

Sasa Kama maji tu ya matumizi ya kawaida huwa yanapatikana kwa shida,itawezekana vipi kuwa na hydrants kama za US.
 
Sasa Kama maji tu ya matumizi ya kawaida huwa yanapatikana kwa shida,itawezekana vipi kuwa na hydrants kama za US.
Swali zuri sana, ukiitafakari Tanzania ni kama haijui inaelekea wapi, vipaumbele vyake havilengi kumsaidia mwananchi wa chini kama kupata huduma za msingi.
 
drones za kuzimia moto wataziwezaje kama magari tu yamewashinda
 
Tunachofeli kitu kimoja tu hili shirika la zima moto kama ni la serikali iwekwe sheria apewe dili mtu binafsi na kama la mtu binafsi apokonywe apewe dili mtu mwingine.. hili linatakiwa wapewe watu binafsi.. kama sijaeleweka tafuta maji ya baridi unywe
 
"Kazi zao ni kukusanya ada za Certificate na kufanya service mitungi"
 
Nyumba za walalahoi hizo,ingekuwa nyumba ya mkubwa inaungua,hata kama ingekuwa mbweni!zimamoto ingefika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…