baba anjela
JF-Expert Member
- Mar 17, 2013
- 431
- 310
Hivi na huyu huko alikotoka kalipwa laki 6 ?Tulikuwa tuna hamu ya magaidi wameanza kuja sasa
Hatari sana.Hivi na huyu huko alikotoka kalipwa laki 6 ?
😂😂😂😂😂Baba Anjela tafuta kivuli pumzika na kunywa maji mengi. Haya mambo mengine achana nayo.
Picha ni wazi kabisa, tuna askari ambao ni incompetent, corrupted na unprofessional wa kiwango cha lami.Mmm...ili tukio la msomali kupiga watu risasi hivyo lina maswali mengi...na ni kwanini mbele ya ubalozi wa ufaransa...na ubora wake wakutumia bunduki...unaleta maswali mengi.
Kama ni issue za ugaidi basi kuna somo la kujifunza ...kubwa...kumtambua fake gaidi na original gaidi.
Hii inaitwa kupigwa chenga. Unakamata huyu unapigwa na yule.Mmm...ili tukio la msomali kupiga watu risasi hivyo lina maswali mengi...na ni kwanini mbele ya ubalozi wa ufaransa...na ubora wake wakutumia bunduki...unaleta maswali mengi.
Kama ni issue za ugaidi basi kuna somo la kujifunza ...kubwa...kumtambua fake gaidi na original gaidi.
Askari incompitent unamaanisha askari wa jeshi gani? Maana hii nchi ina majeshi ya kizembe ila haitazamwi wala haipendwi na wavamizi ndo maana matukio haya ni machache, hatuna ulinzi tupo incompetent sana mawazo ya kipuuzi fulani baada ya kushiba. Chukua bunduki nenda mipakani huko utulinde tuone umahiri wako wa ulinzi Jitu flani lisilo fikiri kuhusu wanayopitia majeshi ya ulinzi na usalama mpaka wewe upo salama kutoa maoni ya kishibe shibe.Picha ni wazi kabisa, tuna askari ambao ni incompetent, corrupted na unprofessional wa kiwango cha lami.
Wakauulize huko msumbiji magaidi wakoje.Tulikuwa tuna hamu ya magaidi wameanza kuja sasa
Kaka hatuna professional jeshi hata moja.Askari incompitent unamaanisha askari wa jeshi gani? Hivi unafikiri hii nchi haitazamwi au haipendwi na wavamizi?
Tusiongelee tena hili suala mm na wewe.Kaka hatuna professional jeshi hata moja.
Kama jeshi letu lingekuwa na sifa kama tunavyojidanganya, majirani zetu Mozambique wangekwenda Rwanda 🇷🇼 kuazima askari wa kweli kutuliza rabsha kule.
Una uhakika ni mtanzania?Kwanini mnamwita 'msomali'? This is how xenophobia starts. Ni mtanzania.