Tukio la msomali linatupa picha gani juu ya ugaidi..

Mimi kuhusu JWTZ sioni sababu ya kuwashirikisha wako imara sina shaka YOYOTE!
Mpe heshima yake anaejitolea uhai wake kwa ajili yangu na yako.

Sent from my G80 using JamiiForums mobile app
 
Ubalozi wa ufaransa unatazamana na ulipolipuliwa Ubalozi wa Marekani.
 
LInatupa picha kwamba Ugaidi wa Siro kwa Mbowe ni fake, na kama Siro anataka kujua ugaidi ndio huo kaonyeshwa
 
Jeshi lisilo na weledi. Wangekua watano je. Weledi wetu kuonea chadema au raia wasio na silaha. Leo wamepata mbabe wao wameonyesha udhaifu kiwango cha sgr.
 
Gaidi wa leo hajatumia hata laki sita lakini kuna watu wanadhani 600,000. hazitoshi kufadhili ugaidi
 
Baba Anjela tafuta kivuli pumzika na kunywa maji mengi. Haya mambo mengine achana nayo.

Nakusoma sana Chief, since “kabla ya” tukio la kwanza this early afternoon, your blueprint looks tarnished!!!

No hard feelings Chief. MG



Otherwise just a “wannabe in action!”
Stay blessed .
 
We unajiongelea tu wale wa kongo walioviziwa wakauwawa zaidi ya ishirini unadhani hawakuwa competent au umepandikizwa chuki dhidi ya POLICE.
 
Hatari sana.
Jeshi letu la polisi jepesi sana.
Sasa wakija hawa jamaa 100 si wanafunga Dar es Salaam nzima

“Jeshi lenu la polisi jepesi sana” ... kwamba “ wakija 100 kati yao hao wepesi , mtafunga Dar Nzima?!?

Kabisa?!?

Hebu Tupeni burudani !! Twende kazi [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]

Tupeni utamu [emoji3526]
 
Picha ni wazi kabisa, tuna askari ambao ni incompetent, corrupted na unprofessional wa kiwango cha lami.

Chief, pengine uko sahihi sana, Hebu jiachie!!

Unao ushahidi wa Incompetence, Corruption & Unpretentious kiwango cha uhalisia?!?

Nimekabwa pia!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…