Tukio la Mtanzania kufariki Ethiopia: Kama kungekuwa na ubalozi wa Zanzibar huko labda ingesaidia

Kwani wapi nimeandika hakupaswa kusaidiwa na ubalozi?

Unajua kusoma kwa ufahamu?

Au wewe ni kati ya wale wajinga ambao wana tatizo la kusoma?
Shenzi zako umesema hili Ni tatizo la kifamilia kwa maana nyingine ubalozi hauhusiki kwahiyo hata angetupwa Kama umbwa kwako sawa tu kisa tatizo la kifamilia? Mara ngapi watu wanafia kwenye buses munapita kituo cha polisi munapewa msaada stahiki sembuse mtu kafia ugenini, kwahiyo mama samia akiugua akiwa kwenye kikao cha AU ubalozi hauhusiki sio? Watanzania wangapi wanaenda Addis Ababa kwenye makongamano mbalimbali watanzania wangapi wanasubiri connect ndege kqa masaa kadhaa wakuwa Addis Ababa? Huyu balozi wakufukuza tena haraka sana
 
Tatizo gani ni la kifamilia?

Unajua kusoma kwa ufahamu wewe maamuma?

Balozi unamfukuza lini tuhakiki hapa?

Wewe unajua bajeti ya huo ubalozi ni kiasi gani na mahitaji yake ni kiasi gani?

Au unataka kuhudumiwa tu kama diva?
 
Tatizo gani ni la kifamilia?

Unajua kusoma kwa ufahamu wewe maamumuni

Tatizo gani ni la kifamilia?

Unajua kusoma kwa ufahamu wewe maamuma?

Balozi unamfukuza lini tuhakiki hapa?
Umesema kwa kiingereza chako cha hivyo ulichochanganyay na kiswahili kibovu kuwa hiyo mama hakuwa balozi wala myanyakazi wa ubalozi na wala sio suala la muungano, basi sawa Mambo ya nje yaondolewe kwenye muungano, hukuishia hapo ukatutusi zaidi,
 
Umesema kwa kiingereza chako cha hivyo ulichochanganyay na kiswahili kibovu kuwa hiyo mama hakuwa balozi wala myanyakazi wa ubalozi na wala sio suala la muungano, basi sawa Mambo ya nje yaondolewe kwenye muungano, hukuishia hapo ukatutusi zaidi,
Wewe kwa kutaka kuzikiwa ndugu yako na serikali ushajitusi mwenyewe.

Mimi sina haja ya kukutusi zaidi.
 
Matusi yako yanaonesha umeshindwa kujibu hoja kwa hoja.

Mimi nakufundisha nini cha kufanya ili ndugu yako asipate hitima ya maiti yake kutupwa na kuliwa na ndege nchi za ughaibuni.

Wewe unanitukana.
Wewe ni hard headed., nimeona nistop mjadala na ww., you know nothing.,
iam sorry.,
 

Tatizo kubwa ni kuwa mumetuvamia Na Hakuna Mtanganyika kwenye CCM anayeitakia mema Zanzibar. Hizo jeuri zenu karma inaanza Pole Pole kuwatafuna.

Hivi Kama mnataka tupinduwe si mngaliondosha majeshi yenu mliyopiga kambi kila baada ya kilomita tatu?
 
Wewe kwa kutaka kuzikiwa ndugu yako na serikali ushajitusi mwenyewe.

Mimi sina haja ya kukutusi zaidi.
Hii ndiyo shida ya kuvamiwa Na watu Kama nyinyi msiomuamini Mungu. Hata ubinaadamu hujui ni kitu gani
 
Kumbe ni dada wa kipemba! Ndio maana haueleweki maana kiswahili chenu ni tofauti na chetu. Hamna haja ya kuendeleza mabishano maana hatutaweza kuelewana. Sisi kwetu tunasema jazba nyie mnasema jaziba. Hatuwezi kuelewana.

Amandla.
Ndio umesoma hicho ulichokiandika?. Ndio mkazila pesa hata pesa Za wanafunzi wanaosoma ughaibuni.Huku mkizileweya Na kuwahonga Malaya wa kizungu.
Kuwapa Husums rais zenu mnashindwa
 
Kumbe joto lenu ni mnataka Dada aondoke? Sasa tunakuambia wacha karma ifanye vitu vyake. Kutesa ni kwa zamu
 
Ndio umesoma hicho ulichokiandika?. Ndio mkazila pesa hata pesa Za wanafunzi wanaosoma ughaibuni.Huku mkizileweya Na kuwahonga Malaya wa kizungu.
Kuwapa Husums rais zenu mnashindwa
1. Mkizileweya ndio nini?
2.Husums ndio nini?
3. Rais zenu ndio nini?
Kwa hiyo shida yako ni kuwa hatukuwahonga nyie bali tuliwahonga wazungu? Si ungesema tu?
Nani aliadhibiwa kwa kula ( kuiba) hizo pesa za wanafunzi?
Ndio maana nimekwambia hatuwezi kuelewana. Kiswahili chetu ni tofauti na ni vigumu kuelewana na mtu mwenye wivu wa mapenzi.

Amandla...
 
Kumbe joto lenu ni mnataka Dada aondoke? Sasa tunakuambia wacha karma ifanye vitu vyake. Kutesa ni kwa zamu
Nani amesema tunataka aondoke? Tunachokisema ni kuwa kama kweli mnaona huu Muungano ni mchungu basi ni rahisi kwake kuuvunja ingawa yeye kila siku anatuambia anaupenda sana Muungano.
Kama unaamini kuwa anaona kuwa huu ni wakati wake wa kutesa basi haujamsikiliza vizuri. Yeye mwenyewe anakiri kuwa hakuchaguliwa kuwa Rais. Sasa afanye unavyotaka afanye uone kama 2025 atapata kitu. Uzuri tu ni kuwa anajitambua na hata wasikiliza wapuuzi kama wewe.

Amandla...
 
Sio nawakilisha sema nawasilisha
 
Unataka nikuwekee kila kitu. Chuki zenu kwa kuongozwa Na mwanamke Mzanzibari hamwezi kuzificha?
 
Mnataka Sasa hivi aondoke lakini mumenaswa pabaya. Karma inafanya kazi yake Na mnaumizwa Maini Na Dada.
Kunywa simu basi Kama unaona unaongozwa Na dada
 
Unataka nikuwekee kila kitu. Chuki zenu kwa kuongozwa Na mwanamke Mzanzibari hamwezi kuzificha?
Amekuwa kiongozi kwa muda mrefu kuliko huu mwezi wa urais na hamna chogo aliyempigia kelele. Hapa hata siku mia hajamaliza mnaanza kulalamika kuwa hatumpendi? Unadhani kama machogo wangekuwa kweli wanamchukia wangempa uenyekiti wa chama chao? Au unadhani wangeshindwa kutafuta visababu vya kumzuia kuwa Rais? Ni inferiority complex yenu tu. Sisi hatuna tatizo nae kama vile hatukuwa na tatizo na Mwinyi. Mpemba Mbarawa amekuwa waziri wa Ujenzi, Maji bila mtu kulalamika. Msiwe na wasiwasi Rais wetu mpendwa atamaliza term yake vizuri tu na akifanya vyema tutampa miaka mitano zaidi.
Hivi Zanzibar lini mmempa mwanamke nafasi yeyote ya juu ya uongozi? Mmewahi kuwa hata na Chief Minister mwanamke?

Amandla...
 
Mnataka Sasa hivi aondoke lakini mumenaswa pabaya. Karma inafanya kazi yake Na mnaumizwa Maini Na Dada.
Kunywa simu basi Kama unaona unaongozwa Na dada
Unazidi kudhihirisha ulivyo mpumbavu. Umenipotezea muda vya kutosha. Sitakujibu tena. Na simu sinywi.

Amandla....
 

Unazidi kudhihirisha ulivyo mpumbavu. Umenipotezea muda vya kutosha. Sitakujibu tena. Na simu sinywi.

Amandla....

Unakaribia kwenda haja kubwa kwa hasira Za kuongozwa Na Dada Mzanzibari. NEnda kajisaidie upunguze hasira.
 
Nafunga Mjadala .
Mwili umeshafika Zanzibar baada ya siku 8 tangia afariki.
Familia Tumegharamia kila kitu.
Hatuna budi kushukuru angalau kidogo Msaada aliotowa Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia wa Coordination.

Kama tungelijuwa mapema kuwa Balozi Hakuna msaada zaidi ya kukusaidia to ku 'Coordinate' basi Tungeweza kufuatilia Mwili siku Ile ile wenyewe na kuusafirisha wenyewe.

Hata hivyo TUMEJIFUNZA KITU KUWA BALOZI ZA TANZANIA SI RAFIKI KWA RAIA WAKE KIHIIVYO.

NAFUNGA MJADALA
 
Huyu mtu ttzo lke ni muungano na si maiti kutosafirishwa na balozi , kwa akili zake anahisi huku bara tunaishi km huko kwao visiwani ambako wanabaguana wao kwa wao , huku bara wazanzibar wamejaa kibao kila idara na hatuna pigo za kusaidia kwa kuangalia asili ya mtu , ukiona hujasaidiwa ujuwe haiwezekani na sio kwavile ww ni mzanzibar , Natamani siku ya kuwaacha niwe hai maana tumewaokoa sana kutoka kudundana , nyie watu ni walalamikaji sana mf unailalamikia balozi ambayo ilikuambia haina fund , sijui ulitaka atumie mshahara wake , ISHI KULINGANA NA MFUKO WAKO USIFORCE UISHI KAMA OMAN AU US hao wana pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…