Tukio la Mtanzania kufariki Ethiopia: Kama kungekuwa na ubalozi wa Zanzibar huko labda ingesaidia

Nione wivu wa kazi gani? Mimi nisingaliandika ila huyo Dada ninamfahamu vizuri .

Ndio watoto wa Vigogo wa CCM
Na watoto wa vigogo wa CCM hawawezi kwenda Dubai bila kuiba hela ya ubalozi?
Na kwa sababu unamfahamu akakuambia anatumia hela za wizi?

Amandla...
 
Tatizo kubwa linakuja hapa kwa mujibu wa uoni wangu, Serekali ya SMZ inajaribu sana kusaidia raia wake pale wanapopatwa na matatizo nje ya nchi, Kitu ambacho serekali ya SMT mara nyingi hua haifanyi juhudi zozote za kujaribu kusaidia, na mara nyingi huishia kuwashutumu hao wananchi. Mifano ipo mingi sana.
Kwanza kabisa, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika muundo wa Muungano wetu, haina wajibu wa walq haki ya kushiriki katika mambo ya nje ya nchi.

Mambo ya kimataifa ni suala la Muungano. Ndiyo maana Salmin Amour alivyotaka kuiunganisha Zanzibar kwenye nchi za Jumuiya ya Kiislamu alileta mgogoro wa kikatiba mpaka akakubali kakosea na kufyata mkia.

Ndiyo maana hakuna ubalozi wa Zanzibar nje, hakuna kiti cha Zanzibar Umoja wa Mataifa.

Ndiyo maana hakuna passport ya Zanzibar.

Wazanzibari kama wanaona wananyimwa sana huduma za serikali kwa kuwa katika Muungano, wajitoe tu katika Muungano.

Halafu waone kama serikali yao itaweza kuwalisha.
 
Kwanza tuanze na Sharia inasemaje kwani Muislam akifia nchi isiyo yake au safarini? ndipo tuitupie lawama Serikali ya Muungano!
 
Charlie Chaplin and Michael Chaplin covered it all on governments and passports in the last Charlie Chaplin movie, "A King in New York"

Government is the problem, government is not your solution.

Kwanza kabisa, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika muundo wa Muungano wetu, haina wajibu wa walq haki ya kushiriki katika mambo ya nje ya nchi.

Mambo ya kimataifa ni suala la Muungano. Ndiyo maana Salmin Amour alivyotaka kuiunganisha Zanzibar kwenye nchi za Jumuiya ya Kiislamu alileta mgogoro wa kikatiba mpaka akakubali kakosea na kufyata mkia.

Ndiyo maana hakuna ubalozi wa Zanzibar nje, hakuna kiti cha Zanzibar Umoja wa Mataifa.

Ndiyo maana hakuna passport ya Zanzibar.

Wazanzibari kama wanaona wananyimwa sana huduma za serikali kwa kuwa katika Muungano, wajitoe tu katika Muungano.

Halafu waone kama serikali yao itaweza kuwalisha.

Wazanzibari mbona kwa muda mrefu tu wamekua waking'ang;ania kujitoa kwenye muungano, wabara ndio wanaendelea kuulazimisha Muungano kwa mabavu
 
Basi ni watu nyoronyoro wasioweza kujikomboa kuchukua nchi yao.

Sishangai wakiendeleza unyoronyoro huo kutaka kufanyiwa kila kitu na serikali.
 
Na watoto wa vigogo wa CCM hawawezi kwenda Dubai bila kuiba hela ya ubalozi?
Na kwa sababu unamfahamu akakuambia anatumia hela za wizi?

Amandla...
Sawasawa, funika kombe mwanaharamu apite, hizo balozi nyengine zimefika kushitakiwa kwa kutokuwalipa wafanyakazi wa humo ubalozini kwa miezi
 
Kwanza kabisa, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika muundo wa Muungano wetu, haina wajibu wa walq haki ya kushiriki katika mambo ya nje ya nchi.

Mambo ya kimataifa ni suala la Muungano. Ndiyo maana Salmin Amour alivyotaka kuiunganisha Zanzibar kwenye nchi za Jumuiya ya Kiislamu alileta mgogoro wa kikatiba mpaka akakubali kakosea na kufyata mkia.

Ndiyo maana hakuna ubalozi wa Zanzibar nje, hakuna kiti cha Zanzibar Umoja wa Mataifa.

Ndiyo maana hakuna passport ya Zanzibar.

Wazanzibari kama wanaona wananyimwa sana huduma za serikali kwa kuwa katika Muungano, wajitoe tu katika Muungano.

Halafu waone kama serikali yao itaweza kuwalisha.

Kwani hivi Sasa wanalishwa Na huyo mwenye njaa ?
 
Basi ni watu nyoronyoro wasioweza kujikomboa kuchukua nchi yao.

Sishangai wakiendeleza unyoronyoro huo kutaka kufanyiwa kila kitu na serikali.

Ni kweli ni nyororo kwani hizo kambi Za majeshi ya uvamizi zilizokuwepo Zanzibar ni kila kilomita 3 , Na hao usalama ndio hawana idadi
 
Sawasawa, funika kombe mwanaharamu apite, hizo balozi nyengine zimefika kushitakiwa kwa kutokuwalipa wafanyakazi wa humo ubalozini kwa miezi
Sio tu kutowalipa wafanyakazi wao bali pia hata kutomlipa landlord wao! Na unaaminu wanafanya hivyo ili wakafanye shopping Dubai? Kumbe unajua kuwa kuna wakati hali yao ya kifedha sio nzuri lakini bado una walaumu kuwa wanaiba pesa ambazo unajua hawana! Watendeeni haki wenzenu.

Hawa watu wanaotaka balozi zisizo na hela ziingie gharama zaidi kusafirisha maiti ni wabinafsi sana.
 
Kwanza kabisa hapa sijakuita mjinga nimekwambia acha ujinga.

Pili unapojadiliana na mimi kuwa specific, unapoandika kuhusu ubalozi kuwa na jukumu lake la kusaidia unamaanisha nini?

Kwani wapi mimi nimekataa kwamba ubalozi una jukumu la kusaidia?

Unajua kusoma kwa ufahamu?

Mbona mara nyingi tu kwenye uzi huu nimeandika kwamba ubalozi una jukumu la kusaidia ku coordinate mambo.Kwanza mwili hauwezi kuhakikiwa kwamba ni wa Mtanzania bila ubalozi kuhusishwa, sasa hapo ubalozi utakosaje jukumu la kusaidia?

Unaelewa ninachopinga mimi ni ubalozi kubeba gharama za kusafirisha mwili, si ubalozi kusaidia.Ubalozi una jukumu kubwa sana la ku coordinate mwili usafirishwe, hili jukumu kama ubalozi umelitelekeza, haujalikamilisha, kwangu mimi ubalozi una lawama.

Lakini kama kuna hela za kulipa kusafirisha mwili, hilo ni jukumu la familia, si la ubalozi.Watanzania wanafariki wengi sana nje na ubalozi hauna bajeti za kutosha kuwasafirisha, hili ni jukumu la familia.

Mimi kwetu kaka mkubwa naangaliwa kwa mategemeo.Sisi ndugu zetu wakipata matatizo tunafanya vikao vya familia kumaliza matatizo.Hatutegemei serikali kwenye matatizo ya kifamilia, hilo ni jambo la aibu.

Sio kama najitapa, najielezea ukweli wangu, kwa sababu umeniuliza angekuwa ndugu yangu kafariki nje hivyo ningefanyaje. Bahati nzuri nina mfano hai wa leo leo kuhusiana na matatizo ya kifamilia ninavyoyatatua.

Hivi hapa naandika nimepigiwa simu asubuhi hii kuna ndugu yetu kapata matatizo Zanzibar kwenu huko natuma US $900 kumaliza matatizo haya. Kitu nilichofanya ni kupata muhuri wa wazee wa kuaminika wa familia kwamba hili tatizo ni legit na familia ingependa ndugu asaidiwe, baada ya kuhakiki hilo nimeuliza namba ya M-Pesa kutuma muamala. Sijailalamikia serikali kwa matatizo ya familia yetu.Na nimekuwa nikifanya hivyo miaka yote. Ndiyo maana nashangaa watu wanaolalamikia serikali matatizo ya familia yao.

Na huyo ndugu yangu hajafa, na hiyo si mara yangu ya kwanza kumsaidia.Alishawahi kunikopa hela akashindwa kunirudishia, na mimi nilimpa bila kutegemea atarudisha, na sasa namsaidia tena kama ndugu tu. Sijaomba serikali itusaidie kwenye matatizo yetu ya familia, najua serikali ina mambo mengi sana.

Bima kuna mpaka za kimataifa wewe unaongelea rais wenu bado unarudi kulekule kulaumu serikali kwa ujinga na umasikini wako.
Suala la mtu/raia kufariki kwenye ndege nje ya nchi sio suala la kifamilia tu lakini ni agent and very emergency issue na ndio mana fly dubai ilitua hapo Ethiopia kwa dharura, huyo balozi wa amekuwa wakiwasiliana lakini hakutoa msaada wowote.,

Sasa kama kwenye familia yenu muna michango ya ndani inayohusiana na matatizo yenu ya ndani inahusiana vipi na issue kama hii Internationaly? hizo US $900 ulizotuma kwa ndugu zako zingesaidiaje kuchukua mwili wa marehemu ndugu yako alietuliwa pale Eithiopea kuja Tanzania?

Well michango ya familia., Na kama ndugu yako aliyefariki labda amefariki nchi za mbali zaidi kama Marekani ama Australia pia unafikiri michango ya familia ikamchukue maiti huko imlete Tanzania? Ivi wewe unaongelea familia ipi? unadhan ni kila familia inamiliki $900 kwa wiki ama kwa mwezi?

Kama mtu ameshindwa bima ya ndani vipi atakwenda kwenye bima za kimataifa? unafkiri maisha uliyonayo wewe ndio wastani wa maisha ya kila mwanadamu hapa ulimwenguni?? au nyinyi ni katika wale wanaojisahau baada ya kujiona sasa una kipato fulani japo unatumwa 24hrs?

Kama serikali inashindwa kutoa msaada wa dharura kama huu ulivotokea kuna haja gani kuendelea kuwepo madarakani, njia za kutoa msaada zipo nyingi kwa mfano balozi anaweza kuangalia flight inayokuja tanzania akatumia imagency status yake kwa vyovyote iwavyo mwili unabebwa then maiti ikitua Tanzania hapo sasa ni familly matters, mnakwenda kuchukua maiti yenu kama mtaisafirisha kwa boti or anything.

Mimi naamini wewe sio tajiri lakini yawezekana sana wewe ni limbukeni.,
 
Wewe tatizo lako hata hujui tofauti ya urgent na agent.

Mpaka hapo tu kujadiliana nawe ni mzigo.

Nikianza kukuelewesha mambo ya siasa, uchumi, falsafa nina shaka utaelewa.

Nitajuaje unaelewa personal responsibility na Austrian Economics kama hujui tofauti ya agent na urgent?

Mimi nakwambia familia yetu inatatua matatizo yake yenyewe, wewe unaniambia tatizo lenu ni la kimataifa, kwani mimi niko USA ndugu yangu ana tatizo Zanzibar hapo siwezi kusema tatizo ni la kimataifa kwangu?

Mimi nimeweza kutuma hela Zanzibar.Kutoka Marekani. Nyie mnqotaka kusaidiwa hela na serikali familia yenu kwa nini isitume hela ndugu yenu arudishwe?

Wapi nilikwambia mimi ni tajiri? Unajua kusoma kwa ufahamu?

Nakwambia wewe na wajinga wenzako hivi, serikali ya Tanzania ina mambo mengi sana.

Kuna balozi hazina hela za kulipa kodi za nyumba, kuna balozi hazina pesa za kulipa mishahara ya wafanyakazi. Kuna balozi hazina hela za kulipa bili za umeme na maji.

Hizi ndizo balozi unazotegemea ziingie gharama za kurudisha miili ya ndugu zenu?

Endeleaza ujinga utalialia siku zote.
 
Muhimu umeelewa nini nimekusudia.,

Nakuwa napata shida sijui kwanini unaendelea kuleta mambo ya familia yenu individual hapa na kuwaanika ndugu zako hapa kwenye forum namna walivyomaskini na wewe unapambana kubeba mabox ili uwasaidie., i don't care,

Mimi nimeongea wajibu wa serikali yenu na hizo tunazoziita balozi ambazo umesema ni balozi maskini zinashindwa kulipia ata bili za umeme
 
This type of gross ignorance is exactly what I am talking about.

Yani nyie mmeleta matatizo ya familia yenu hapa JF, mmefiwa na ndugu yenu.
Tena kwa vijembe vya inda visivyo staha kuhusu Muungano.

Hili si tatizo la kitaifa.

Hajafa balozi, hajafa mfanyakazi wa serikali. Hili ni tatizo la kifamilia.

Mmelileta hapa tatizo la kifamilia kulialia.

Haya, mimi nawajibu. Nawaambia matatizo ya kifamilia huku watu tunaotumia akili tunayatatua kifamilia.

Hatusubiri serikali.

Halafu wewe na nduguzo mlioleta matatizo yenu ya kifamilia hapa JF, mnashindwa kumzika ndugu yenu mpaka mnaomba msaada wa serikali, jambo la aibu kabisa, mnalialia msaidiwe na serikali, unanilaumu mimi kwa kuleta mambo ya familia yangu hapa?

Nani kaanza kuleta mambo ya familia kwenye uzi huu?

Unaelewa nimeeleza mambo ya familia yangu kwa sababu niliulizwa swali kwamba nikipatwa na tatizo kama hili kwa mtu wa familia yangu nitafanyaje? Ulitaka nisijibu swali nililoulizwa kuhusu familia yangu?

Yani mnaniuliza swali, halafu nikilijibu mnanisema vibaya kwa kujibu swali ambalo mmeniuliza wenyewe?

What kind of sordid rubbish is that?

Wewe ngumbaru jua kwamba serikali ya Tanzania haina bajeti ya kukusafirishieni maiti za ndugu zenu kutoka nje.

Jipangeni kusafirisha maiti za ndugu zenu wenyewe.

Ama sivyo zitazikwa na serikali za nje na watu wasiowajua.

Au hata maiti za ndugu zenu zinaweza kutupwa ziliwe na ndege.

Acheni ujinga wa kutegemea balozi ziwasaidie gharama, wakati balozi zenyewe hohehahe.
 
Kwa taarifa yako kamwe usije kutegemea msaada wo wote kutoka ubalozi wa Tanzania po pote pale duniani! Ofisi zetu za ubalozi ni fukara hakuna mfano. Kwa kifupi hazina msaada wo wote zaidi ya mbwembwe tu kuwa tuna ofisi ya ubalozi.

Just imagine hata bill za umeme na maji huwa zinashindwa kulipa!
Kwa experience yangu ni mabalozi wenye asili ya Zanzibar ndiyo huwa na msaada,kama ni wa huku kwetu Tanganyika ni wachache mno na mara nyingi ni wale wasio na asili za ulugaluga.
Kuna baadhi ya mabalozi huona kama ni wanapungukiwa wao binafsi pale wanaposaidia dharura mbalimbali kwa raia wa Kitanzania huko wanakotuwakilisha.
 
Majukumu ya Balozi si kusafirisha Maiti zinazoenda nchini kwake bwana mdogo.
Hili ndilo tatizo la watanzania. mabichwa yamejaa maji. Kwa taarifa yako, moja ya kazi za balozi ni kuwapatia ushauri, msaada na kuwasimamia wananchi wa nchini kwao pale wanapofikwa na matatizo ugenini. Kwa mfano wa hii issue, balozi zozote zile huwa zinajulishwa moja kwa moja, hii ni protocol, kilichotokea na ubalozi hufika kuwaona wanaliofikwa na mkasa na kuwashauri namna ya kutatua tatizo lao. Kuna balozi zinazolipia kusafirisha maiti bila fidia na zipo ambazo hulipia usafirishaji na kuwajulisha jamaa wa marehemu kuwa watatakiwa kurejesha pesa hizo.

Unapokuwa nci ya ugenini na kufikwa na maafa kama haya mtu huwa tafrani na hujui kinachoendelea, hapo ndio watu wa nchi yako wanapotakiwa kukushauri na ndipo ubalozi unapotakiwa kuwajibika.
 
Back
Top Bottom