Kupitia taarifa ya habari STAR TV naona habari huko Tabora kuna mwanagunzi wa shule ya waschana Tabora akiwa amejifungulia chooni na mtoto kufariki.
RC amefika hapo na nimemsikia anasema eti walimu waliokaa hapo kwa zaidi ya miaka 10 wahamishwe
Anaelekeza zaidi kwamba makamu wa mkuu wa shule ahamishwe na akawe mwalimu wa kawaida. Kwaakili yake anaona amelifanyia kazi tatizo. Tena RC kabisa anasema huyo SECOND MASTER WA KIKE. Haijawahi tokea mahali popote duniani akawepo SECOND MASTER WA KIKE asipokua huko Tabora
Katibu tawala nae amedai watoto hawajapimwa mimba kwa miaka miwili.
Sasa naomba kujua kwamba je hao wapiga kelele hawayajui haya?
*Unawalaumu walimu kukaa kituoni kwa miaka 17 je unaona tatizo ni walimu au ni kujuana,rushwa ,uzembe nk kwa afisa elimu na mkurugenzi?
Hapo RC amejichanganya. Hakutakiwa kupiga makelele hadharani hasa Kwa walimu kwani hata wanafunzi wakiwa na mimba watasoma tu

- Kwani hawajui kwamba wazazi wanasoma?
- Wanafunzi wanapimwa mimba ili wakakae wodini au lengo nikuwapeleka shule maalum za wajawazito?