Wenye mimba wakikataliwa wanapiga makofi,wakikataliwa wanapiga makofi. Hata hawaelewiViongozi mikurupuko. Com
Hata ukiwapima lengo ni nini? Ukiwafokea wenye mimba wakati wameambiwa wasome nini tatizo.Kiukwelii anachokifanya Samia kuhusu wanafunzi wenye mimba kuludii shuleni anakosea sana sjuwi ni Nini hiki anakipanda kwenye Taifa hili
Nyie hamjamuelewa RC anachomaanisha. Yeye alitaka walimu wamtambue huyo mjamzito, wawe wanampeleka kliniki, wampe foliki acidi akisahau kumeza ili damu na madini yasipungue mwilini, akitaka udongo wakamnunulie, akikataa chakula wamuulize anataka nini, apewe huduma zote anazostahili mjamzito halafu akikaribia kujifungua wamsindikize nyumbani na kisha apewe matenity leave. Hamjui kama siku hizi walimu wameongezewa jukumu la kulea wazazi?Kupitia taarifa ya habari STAR TV naona habari huko Tabora kuna mwanagunzi wa shule ya waschana Tabora akiwa amejifungulia chooni na mtoto kufariki.
RC amefika hapo na nimemsikia anasema eti walimu waliokaa hapo kwa zaidi ya miaka 10 wahamishwe
Anaelekeza zaidi kwamba makamu wa mkuu wa shule ahamishwe na akawe mwalimu wa kawaida. Kwaakili yake anaona amelifanyia kazi tatizo. Tena RC kabisa anasema huyo SECOND MASTER WA KIKE. Haijawahi tokea mahali popote duniani akawepo SECOND MASTER WA KIKE asipokua huko Tabora
Katibu tawala nae amedai watoto hawajapimwa mimba kwa miaka miwili.
Sasa naomba kujua kwamba je hao wapiga kelele hawayajui haya?
*Kwahiyo hakuna uwezekano kwamba walimu wameamua kuacha kupingana na amri ya mh. Rais ya wazazi kusoma?
- Kwani hawajui kwamba wazazi wanasoma?
- Wanafunzi wanapimwa mimba ili wakakae wodini au lengo nikuwapeleka shule maalum za wajawazito?
*Unawalaumu walimu kukaa kituoni kwa miaka 17 je unaona tatizo ni walimu au ni kujuana,rushwa ,uzembe nk kwa afisa elimu na mkurugenzi?
Hapo RC amejichanganya. Hakutakiwa kupiga makelele hadharani hasa Kwa walimu kwani hata wanafunzi wakiwa na mimba watasoma tu
Nakubaliana na ww 100%. Mi ni mwanamke na Sio kwamba sitaki wenzangu wasome, ila ujauzito na shule haviendi pamoja guys. Ni uongo mtupuKiukwelii anachokifanya Samia kuhusu wanafunzi wenye mimba kuludii shuleni anakosea sana sjuwi ni Nini hiki anakipanda kwenye Taifa hili
Mauzauza kibao. Viongozi wakurupukaji. Hata wanaowatia mimba mnawasaka wanini kumbe wenza wao wanasoma?Ila hii nchi🚮🚮🚮🚮
Ahsante kwa kuunga mkono asilimia zote. Ukipewa mimba kama wewe ni mwanafunzi hatakama ulibakwa msaada kwako umekua mdogo tofauti na kipindi cha nyumaNakubaliana na ww 100%. Mi ni mwanamke na Sio kwamba sitaki wenzangu wasome, ila ujauzito na shule haviendi pamoja guys. Ni uongo mtupu
Kwenye hili serikali imefeli pakubwaNyie hamjamuelewa RC anachomaanisha. Yeye alitaka walimu wamtambue huyo mjamzito, wawe wanampeleka kliniki, wampe foliki acidi akisahau kumeza ili damu na madini yasipungue mwilini, akitaka udongo wakamnunulie, akikataa chakula wamuulize anataka nini, apewe huduma zote anazostahili mjamzito halafu akikaribia kujifungua wamsindikize nyumbani na kisha apewe matenity leave. Hamjui kama siku hizi walimu wameongezewa jukumu la kulea wazazi?
Amewajenga wanafunzi wafanye ngono bila hofu kwani haina madhara yoyote yatakayoacha wakatishe masomoKiukwelii anachokifanya Samia kuhusu wanafunzi wenye mimba kuludii shuleni anakosea sana sjuwi ni Nini hiki anakipanda kwenye Taifa hili
Cha kushangaza zaidi anaonekana shujaa kwa kurudisha wajawazito shule!!!Kiukwelii anachokifanya Samia kuhusu wanafunzi wenye mimba kuludii shuleni anakosea sana sjuwi ni Nini hiki anakipanda kwenye Taifa hili
Wanaomuona shujaa ni machawa na watia mimba wanamfagilia maana hawakamatwi tenaCha kushangaza zaidi anaonekana shujaa kwa kurudisha wajawazito shule!!!
Sioni tatizo iliwa wote waliopata ujauzito walirudishwa shule kwa mbwembwe. 4R hizo.Kupitia taarifa ya habari STAR TV naona habari huko Tabora kuna mwanagunzi wa shule ya waschana Tabora akiwa amejifungulia chooni na mtoto kufariki.
RC amefika hapo na nimemsikia anasema eti walimu waliokaa hapo kwa zaidi ya miaka 10 wahamishwe
Anaelekeza zaidi kwamba makamu wa mkuu wa shule ahamishwe na akawe mwalimu wa kawaida. Kwaakili yake anaona amelifanyia kazi tatizo. Tena RC kabisa anasema huyo SECOND MASTER WA KIKE. Haijawahi tokea mahali popote duniani akawepo SECOND MASTER WA KIKE asipokua huko Tabora
Katibu tawala nae amedai watoto hawajapimwa mimba kwa miaka miwili.
Sasa naomba kujua kwamba je hao wapiga kelele hawayajui haya?
*Kwahiyo hakuna uwezekano kwamba walimu wameamua kuacha kupingana na amri ya mh. Rais ya wazazi kusoma?
- Kwani hawajui kwamba wazazi wanasoma?
- Wanafunzi wanapimwa mimba ili wakakae wodini au lengo nikuwapeleka shule maalum za wajawazito?
*Unawalaumu walimu kukaa kituoni kwa miaka 17 je unaona tatizo ni walimu au ni kujuana,rushwa ,uzembe nk kwa afisa elimu na mkurugenzi?
Hapo RC amejichanganya. Hakutakiwa kupiga makelele hadharani hasa Kwa walimu kwani hata wanafunzi wakiwa na mimba watasoma tu
Mimi ni mwanamke pia naungana na wewe!Nakubaliana na ww 100%. Mi ni mwanamke na Sio kwamba sitaki wenzangu wasome, ila ujauzito na shule haviendi pamoja guys. Ni uongo mtupu
Wanalazimisha wenzao wawe wazalendo ambapo viatu vimeisha soli kwa kukatiza mitaa halafu wao wapo kwenye mashangingi wanakulatu viyoyoziWako bze ku deal na mishe zao nani afuatilie mtoto wa mtu wakati wao huko majuu wanakula keki ya taifa peke yao