Tukio la mwanafunzi aliyejifungulia chooni limemtia aibu RC zaidi kuliko hata hao walimu

Wanalazimisha wenzao wawe wazalendo ambapo viatu vimeisha soli kwa kukatiza mitaa halafu wao wapo kwenye mashangingi wanakulatu viyoyozi
Siku wakitambua ualimu ni taaluma na sio wito tena watakua wamepona ukichaa hakuna kazi yoyote unayoweza kuifanya kwa moyo mmoja kama ina masirahi kidogo otherwise hiyo kazi iwe ni yako binafsi
 
Toronto ina didimia pole pole 😱 😭😭😭
 
Sioni tatizo iliwa wote waliopata ujauzito walirudishwa shule kwa mbwembwe. 4R hizo.
4R yawagusa wanafunzi wanaofanya ngono na hiyo 4R imewakataa vijana waliomaliza vyuo. Hawana ajira. Haya ni maajabu
 
Rea mwanao utakavyo wewe husisikilize ujinga wa wapiga kelele wakati wakwao wapo international.
 
Siku wakitambua ualimu ni taaluma na sio wito tena watakua wamepona ukichaa hakuna kazi yoyote unayoweza kuifanya kwa moyo mmoja kama ina masirahi kidogo otherwise hiyo kazi iwe ni yako binafsi
Shida Yao wanataka wapiga kura na sio vinginevyo
Ukijua kusoma na kuandika inatosha. Reasoning sio kipaumbele cha viongozi tena. Kwanza hawataki kuhojiwa
 
Watoto wanapata mimba halafu hamtaki kuzuia ,watoto kama hao wakipimwa wana mimba ..Wakishazaa baadaye wataolewa na nan ? Watu wanachagua mabikra.
Lengo lao wapate wapiga kura
 
We mwl mpumbavu kahame tena upelekwe kijijini siyo kuja kupiga kelele humu, mmekuwa wavivu sana kazi kuchat na umalaya. Huoni ht aibu kuandika huu uchafu? Mtumishi akikaa zaidi ya miaka 10 ni tatizo kubwa hufanya kazi kwa mazoea. Wanawake wengi ni wavivu sana kazini wanaendekeza mambo ya kipuuzi hasa mwanamke wa kitanzania
 
Hivi hata hata haya mambo ya Walimu na wazazi kukaa yalimuhitaji mkuu wa mkoa?
 
Sasa anatuambia sisi ndio tunawahamisha? Au hao walimu alitaka wajihamishe? Mwenye uelewa mdogo atawatetea viongozi wanaolalamika badala ya kuchukua maamuzi.
Nguo zimewavuka wachutame
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…