Uchaguzi 2020 Tukio la Nyamongo lilivyozima shughuli ya Iringa

NI MUDA MUHAFAKA KUKATAA KUINGIA KWENYE UZI WOWOTE UNAO ONGELEA ISSUES ZA CCM, YAANI UKIONA BANDIKO LINAHUSU CCM PITA KAMA HUJALIONA.
 
Kuna nyuzi iko Live humu ya JohntheBaptist imepostiwa toka asubuhi mpaka saa hii sa kumi na moja kasoro robo ina replies 90 na views 3000 tu. Hii ni dalili mbaya kwa ccm.

Nyuzi iko live
Wewe ni mchawi???
 
Tuliona watu wanaosombwa kwa malori kwenda uwanjani lkn walikuwa bize na simu zao kumsearch na kumsikiliza Lisu ktk simu zao. Ilifika mahali hata mzungumzaji akaongea haraka ili akaangalie kwenye simu yake
Lissu ni sawa na maji yaani, usipo yanywa basi lazima utayaoga

Sent using Jamii Forums mobile app
 

DUH!
KWELI MACCM NI EMPTY SET.
 
Dola hufanya Mambo Fulani kwa makusudi ili kulifikisha taifa kwenye best destiny Jambo Hilo linaweza kuwa baya kwa watu ila zuri kwa taifa ili mtu apumzishwe salama mfano waliosoma literature wanajua irony mtu akikuambia wewe mrefu kumbe mfupi hii ni irony Sasa Kuna binadamu anaitwa mnyenyekevu ila umma unajua hayuko hivyo hi ndio kazi ya kutukuka ya idara pendwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…