Tukio la Rais Kikwete, Dr. Shein kukabidhiwa Rasimu ya pili na tume ya Katiba - Karimjee Hall

Tukio la Rais Kikwete, Dr. Shein kukabidhiwa Rasimu ya pili na tume ya Katiba - Karimjee Hall

mshumbue-soi

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2013
Posts
1,842
Reaction score
1,148
Wanajamvi

Maandalizi yanaendelea ktk viwanja vya Ikulu

Niwasihi mvute subira tuwahabarishe na Wanajamvi walioko hapa tukio kubwa katika hatua ya utungaji wa katiba.

Ambapo Tume ya katiba watakabidhi
1.Ripoti ya utendaji wao tangia wameanza hadi tamati ya leo ndani itaeleza jinsi walivyowafikia Watanzania, Maoni ambayo hayakuwekwa kwenye rasimu,nk.

2.Rasimu ya 2 ya katiba baada ya kwanza kutoka na kujadiliwa
Ambayo Itampa Rais wa Jamhuri mamlaka pia ya kuitisha bunge la katiba liijadili hapo mwanzoni mwa 2014.
 
Je Rasimu ya Pili ya Mabadiliko ya Katiba itafika kwa Watanzania?
Jibu la swali hilo ni muhimu kwani nimekuwa na hamu ya kujua kilichomo, sijikuwa nangoja 'wali' wa watu maalumu (Bunge la Katiba) ili hali mimi ni raia wa kawaida.
 
Kwani Rasimu hii ndio final, haiwezi kubadilishwa na Bunge la Katiba?
 
Sasa hapo kimamlaka anayekabidhiwa ni nani hasa, JK au Shein?
 
Mkuu kuna uthibitisho kuwa rasimu ya pili ilijadiliwa kwenye CC ya CCM na ikapitishwa na ndo inayoletwa leo kwa hiyo tusitarajie jipya.
 
Hangover ya viroba bado inakusumbua! rudia kusoma ulichoandika na kama ndicho ulichokusudia basi utakuwa unaelekea kuchizika!
Wewe ni mkuu wa kitengo cha matusi?
 
Bunge la Katiba lina uwezo wa kubadili kila kitu kwenye rasimu(DRAFT) constitutional.
 
Back
Top Bottom