Tukio la Rais Kikwete, Dr. Shein kukabidhiwa Rasimu ya pili na tume ya Katiba - Karimjee Hall

Tukio la Rais Kikwete, Dr. Shein kukabidhiwa Rasimu ya pili na tume ya Katiba - Karimjee Hall

Rasimu ni muhimu sana lakini yaliyomo ndiyo litakuwa chimbuko la vuguvugu kuelekea mabadiliko hasa tume huru ya uchaguzi.
 
Jamani rasimu ina mambo mengi sana yenye maana ... tusitoane macho kwa issue ya mfumo wa serikali tu wandugu. Mfumo huo pia waweza kubadilishwa baadaye inatavyohitajika. Tume haitungi Biblia au Masahafu!
 
Shughuli hii inaanza saa ngapi?ch.gani ya tv inaonyesha live?
 
Jamani rasimu ina mambo mengi sana yenye maana ... tusitoane macho kwa issue ya mfumo wa serikali tu wandugu. Mfumo huo pia waweza kubadilishwa baadaye inatavyohitajika. Tume haitungi Biblia au Masahafu!
nahisi utakuwelo kwenye CRCs
 
Tutarajie Rasimu ambayo itakuwa na uwakilishi mpana wa mawazo ya watanzania wote
 
walisema saa sita lakini ukweli itakuwa mida ya saa kumi hivi kama sijakosea,ccm wanahaha kuhakikisha serikali tatu hazipiti lakini imekula kwao mzee kaamua kuweka historia ya katiba
 
Hivi kwa nini CHADEMA wanachukia mfumo wa serikali mbili?
 
Hivi kwa nini CHADEMA wanachukia mfumo wa serikali mbili?

Kwa sababu watanzania walio wengi wanataka mfumo wa serikali tatu, na CDM ni chama cha wananchi na kinasikiliza matakwa ya wananchi wa Tanzania'wakiwemo wa "Tanganyika"
 
Back
Top Bottom