Tukio la Rais Kikwete, Dr. Shein kukabidhiwa Rasimu ya pili na tume ya Katiba - Karimjee Hall

Tukio la Rais Kikwete, Dr. Shein kukabidhiwa Rasimu ya pili na tume ya Katiba - Karimjee Hall

Rasimu inatambua lugha ya kiswahili kama lugha ya taifa
 
Mkuu hata kama ni mawazo kwa huyu yamezidi bongoland inalaana hii naamini anahisi kabebeshwa sufuria la moto kichwani.

Teh teh ha ha!!!!tuombe mungu akabizi madaraka asije nogewa akang'ang'ania
 
Warioba anaonyesha kujiamini sanaaa nadhani anajua lengo lake la kuinyonga ccm linaenda kutimia...ccm ndo basi tena inaenda kukata roho...
Acha mipasho yako wewe. Toka lini Warioba hajiamini?
 
Jaji Warioba Amegusia Kua Kwa Masikitiko makubwa Walimpoteza Mmoja wa Wajumbe wa Tume ya Mabadiriko ya Katiba Dr.Sengondo Mvungi alifariki katika Mazingira ya Kutatanisha.
 
Machache, rasimu ya sasa ina ibara 271 dhidi ya 244 za rasimu ya kwanza. Tuendelee pamoja
 
Waryoba anasema wasomi, wanasiasa, viongozi na vyombo vya habari hawakukutilia umhimu a maoni ya wananchi wao walikuwa wanaongea vyao tu.
 
Mh.Warioba anasema maoni ya wananchi yamedharauliwa na badala yake yale yanayohusu uongozi ndio yanayopewa kipaumbele.
 
Miiko ya uongozi ni pamoja na kupiga marufuku kiongozi wa umma kutumia cheo chake na wadhifa wake kwa manufaa yake na ya ndugu zake
 
asante mzee can you emagine wameamua kuonyesha tamthilia ya kiphilipino.......duh

Huyu Dialo vp tena? Lkn sitaki kuamini kama kingamuzi chako kinakamata startv lkn hakikamati itv/tbc/chanel ten
 
Amegusia Elephant in the room au bado? Either way lazima watu kununa leo.
 
Back
Top Bottom