Feedback
JF-Expert Member
- Mar 14, 2011
- 7,988
- 4,508
Wishful thinking ya vichwa vya B7 huwa zinanishangaza sana mmekosa penati mtaweza kufunga kwa kona.Hii ni report tu rasmu ya Tatu baada ya bunge la Katiba itakuwa na serikali mbili hiyo ndo Wananchi wanataka,hayo mengine ya Tume na Warioba wao ni hasira za kukaa benchi muda mrefu.
Rasmu gani imemezwa na kipengele kimoja kikubwa na vingine hata havionekani?
Naona tumeanza kutania Historia na maslahi ya nchi.
Mmeshindwa kuwa-convince wajumbe wa mabaraza ya katiba mliokuwa mnauwezo wa kuwahonga ubwabwa tu mtawaweza wajumbe wa bunge la katiba.