Wishful thinking ya vichwa vya B7 huwa zinanishangaza sana mmekosa penati mtaweza kufunga kwa kona.Hii ni report tu rasmu ya Tatu baada ya bunge la Katiba itakuwa na serikali mbili hiyo ndo Wananchi wanataka,hayo mengine ya Tume na Warioba wao ni hasira za kukaa benchi muda mrefu.
Rasmu gani imemezwa na kipengele kimoja kikubwa na vingine hata havionekani?
Naona tumeanza kutania Historia na maslahi ya nchi.
Ningeshangaa huu uzi upite hivi hiv bila hii kitu....
Watz wooote tunajivunia kuwa na rais wa aina ya kikweteJk ni bonge la rais watanzania wengine wanajivunia kuwa na rais kama jk.
Mkuu, utafutaje wakati huna mamlaka? Suluhisho hapa i serikali moja tu
taasisi asilimia 90 imetaka serikali 3
Mkuu,Hawa tume sijawaelewa kwani hawajaweka mambo ya msingi wazi:-
a. Ukiwa na serikali 3 je hizo mbili zitakuwa na dola au zitakuwa kama serikali za maeneo lakini dola inabakia moja?
b. Je zikiwa serikali 3 maswala ya sarafu, benki, na mahusiano ya kimataifa yanakuwaje?
c. Je hizi serikali zitakagharamiwa na nani? Isije kuwa kodi ya mtanganyika ndio inahudumia Zanzibar au kodi ya mzanzibari inakwenda kuhudumia Tanganyika.
Na mengineyo mengi mfano mgombea binafsi inaruhusiwa? Je mahusiano ya serikali na taasisi za kidini je yamefutwa? Kama tunaamua kuwa secular government tuwe secular 100% kama religious government iwe religious 100% hatutaki unafiki.
Hawa tume sijawaelewa kwani hawajaweka mambo ya msingi wazi:-
a. Ukiwa na serikali 3 je hizo mbili zitakuwa na dola au zitakuwa kama serikali za maeneo lakini dola inabakia moja?
b. Je zikiwa serikali 3 maswala ya sarafu, benki, na mahusiano ya kimataifa yanakuwaje?
c. Je hizi serikali zitakagharamiwa na nani? Isije kuwa kodi ya mtanganyika ndio inahudumia Zanzibar au kodi ya mzanzibari inakwenda kuhudumia Tanganyika.
Na mengineyo mengi mfano mgombea binafsi inaruhusiwa? Je mahusiano ya serikali na taasisi za kidini je yamefutwa? Kama tunaamua kuwa secular government tuwe secular 100% kama religious government iwe religious 100% hatutaki unafiki.
Piga ua garagaza. Muundo ni serikali mbiliWishful thinking ya vichwa vya B7 huwa zinanishangaza sana mmekosa penati mtaweza kufunga kwa kona.
Mmeshindwa kuwa-convince wajumbe wa mabaraza ya katiba mliokuwa mnauwezo wa kuwahonga ubwabwa tu mtawaweza wajumbe wa bunge la katiba.
Hawa tume sijawaelewa
kwani hawajaweka mambo ya msingi wazi:-
a. Ukiwa na serikali 3 je hizo mbili zitakuwa na dola au zitakuwa kama
serikali za maeneo lakini dola inabakia moja?
b. Je zikiwa serikali 3 maswala ya sarafu, benki, na mahusiano ya
kimataifa yanakuwaje?
c. Je hizi serikali zitakagharamiwa na nani? Isije kuwa kodi ya
mtanganyika ndio inahudumia Zanzibar au kodi ya mzanzibari inakwenda
kuhudumia Tanganyika.
Na mengineyo mengi mfano mgombea binafsi inaruhusiwa? Je mahusiano ya
serikali na taasisi za kidini je yamefutwa? Kama tunaamua kuwa secular
government tuwe secular 100% kama religious government iwe religious
100% hatutaki unafiki.
Mkuu,
Kwani umeshasoma rasimu yote?
We mshindonyuma hapa hatuzungumzii chama Bali Tanzania ijayo bila hivyo vyama.Wishful thinking ya vichwa vya B7 huwa zinanishangaza sana mmekosa penati mtaweza kufunga kwa kona.
Mmeshindwa kuwa-convince wajumbe wa mabaraza ya katiba mliokuwa mnauwezo wa kuwahonga ubwabwa tu mtawaweza wajumbe wa bunge la katiba.