Tukio la Rais Kikwete, Dr. Shein kukabidhiwa Rasimu ya pili na tume ya Katiba - Karimjee Hall

kwani hii kitu inategemea kuanza saa ngapi? maana nimesubiri hadi nimeganda kwa baridi
 
Namwona kamanda TUNDU LISU yupo ndani ya ukumbi.
 
Tundu lisu namwona anacheka kweli kuna kitu ameshakijuwa kizuri anacheka kweli kweli
 
Namuona kamanda Mbowe akiambatana na Zitto wanawasili uwanjani
 
Sitta katokelezea ki FBI ngoja tuone patamu sana hapa leo
 
Makamu wa rais bilal naye kashaingia hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…