Tukio la Rais Kikwete, Dr. Shein kukabidhiwa Rasimu ya pili na tume ya Katiba - Karimjee Hall

Tukio la Rais Kikwete, Dr. Shein kukabidhiwa Rasimu ya pili na tume ya Katiba - Karimjee Hall

Mbatia yupo ndani ya ukumbi wa Karimjee. Mbona Mbowe haonekani?
 
Wadau wa jf angalieni tbc wapo live viwanja vya karim jee tushuhudie makabiziano ya rasimu wajumbe wate wa tume wamesha wasili pia wanasheria wa tanganyia na zanzibar wapo tayari tutaendelea kujuzana zaidi
 
Hai great thinkers, naomba mwenye link ya kusikiliza au kutazama matangazo ya makabidhiano ya rasimu ya katiba aniwekee ili niweze kusikiliza, nipo very remote area, natanguliza shukurani kwa msaada wenu.
 
Jaji Mkuu wa Tanzania na yule wa Zanzibar yupo.
 
Naona pinda anaingia ila kama ana hofu fulani ngoja tumfuatilie kwa karibu zaidi
 
Waziri wa Sheria na Naibu wake amewasili. Pia waziri wa Sheria Zanzibar naye amewasili
 
Mzee Ali Hassan Mwinyi, Rais Mstaafu wa awamu ya pili naye anawasili ukumbini
 
Raisi mwinyi naye kesha wasili kapokelewa na warioba tusubiri tuone
 
Back
Top Bottom