Tukio la Rais Kikwete, Dr. Shein kukabidhiwa Rasimu ya pili na tume ya Katiba - Karimjee Hall

Tukio la Rais Kikwete, Dr. Shein kukabidhiwa Rasimu ya pili na tume ya Katiba - Karimjee Hall

Jk.ndo ameingia na kuchukua nafasi yake na shughuli ndo inaaza kwa utambulisho wa wageni.
 
Hv hichi kiti cha mkuu wa kaya anatembea nacho kokote aendako??Mbona kila sehemu ni hichohicho tu!!!!!
 
Mkuu, umesahau maneno ya akina Kitila kuwa Mwenyekiti wetu ni too local? Humuoni kwenye matukio ya kitaifa wala ya kimataifa. Dr Slaa anaogopa kipigo kutoka kwa Mume wa Josephine

Mind your biz wewe gamba...
 
Huyu mzee Waryoba anajiamini sana, hata anavyoongea na rais unaona kabisa hababaiki
 
Hivi huyu raisi wakati wote anakenua meno wakati wenzake wako serious.
 
Back
Top Bottom