MOSHI UFUNDI
JF-Expert Member
- Nov 25, 2022
- 538
- 1,278
Dar es Salaam 2006. Afisa akitazama ndizi na damu nyingi chini baada ya tukio la ujambazi.
Majambazi waliiba kwenye duka la kubadilishia fedha la Macsoms-Posta, majambazi walikuja na kuigiza kama wauza ndizi, kwanza walimlima shaba mlinzi, mlinzi chali.
Kisha wakatumia dk 10 tu kukwapua mamilioni, Polisi walifika dk 15 baada.
Nani anakumbuka?