robert sendabishaka
JF-Expert Member
- Dec 11, 2015
- 3,111
- 3,294
Chembe ya ukweli hapaThat's the fact , Ila haiwi addressed kwa sababu italeta mtifuano wa kiimani
itabidi wajiulize Kuna miungu wangapi, na kwa nini Mungu wa aliens yupo hivi au vile ,.kiufupi alliens wame advance maana wanatu treat Kama vile sisi tunavyo wa treat viumbe Kama sisimizi au wadudu flan , hata haya magonjwa ya corona na mengine makubwa nawaza binafsi inawezekana tumenynyuziwa dose na aliens just like binadamu anavyonyunyiza dawa ya kunguni, na kunguni anakuwa hana hata clue ya kujiokoa.