Tukio liñalolalamikiwa kuzaa goli la Simba

Ila hii hii hela ya GSM inaharibu sana mpira wetu
sanaa inatumika pesa mingi sana kununua ubingwa na kudhoofisha simba ili kuwaaminisha wana uto wapo na timu bora, subiri wapate kipimo sahihi kimataifa baada ya kumtoa zalan
 
Kwanza offside kisha ulitoka
Yaani waamuzi walikuwa serious kupata matokeo .Honerani nunueni wachezaji acheni kuhonga waamuzi.Taasisi Kama SSC inashindwaje kumpata Manzoki kwa milioni 400/=tu.wakati Mwamedi aliwekeza bilioni 25 + bilioni 20 ikawa 85bilioni.Mbet bilioni 26+tumeziona kwenye cheque jezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…