TAI DUME
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 9,748
- 26,238
sanaa inatumika pesa mingi sana kununua ubingwa na kudhoofisha simba ili kuwaaminisha wana uto wapo na timu bora, subiri wapate kipimo sahihi kimataifa baada ya kumtoa zalanIla hii hii hela ya GSM inaharibu sana mpira wetu