Tukipika kuku nyumbani, mimi nalishwa vipapatio, vitoto vyangu vya umri wa miaka 5 na 8 ndio vinalishwa mapaja. Je, hii ni sahihi wakuu?

Huyo mama ana akili na anakupenda sana bwashee, the best part kwa kuku ni chicken wings, nenda popote uliza! Vidari vnatengenezewa salad hapewi mtu anayependwa na kuheshimiwa. Vipaja ni vya watoto siku zote kwa tuliofuga kuku tunajua.
And always the closer the meat to the bones the sweeter the meat. Nyama ya kipapatio ni tamu sana.
 
Ni sahihi, tena unapendelewa
Wewe ulipaswa kupewa miguu, utumbo na shingo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…