Tukisema China ndiye aliyetengeneza virus vya CORONA tunamaanisha mambo kama haya

Tukisema China ndiye aliyetengeneza virus vya CORONA tunamaanisha mambo kama haya

Mtarban

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2015
Posts
3,858
Reaction score
5,101
Tazama kipande hiki Cha filamu iliyotengenezwa na kuingia sokoni mwaka 2018. Katika filamu hii virusi vya CORONA vimezungumziwa. Sasa hapo ndo utajua kuwa tamaa ya mchina ndo inayougharimu ulimwengu kwa sasa.

Dah ase hii series nzuri ngoja nikairudie
 
Though now haiko Tena Netflix..Ila ni fifty fifty kama ni man made or no
 
Hao ni wakorea siyo wachina

Ila ukitaka kuconnect dots uhusika wa China kwenye huyu kirusi angalia video ifuatayo

Mchunguzi huyu huru anaeleza kuhusu researcher wa kichina aliyekuwa akifanya uchunguzi juu ya Corona viruses kwenye popo.

Sasa hivi huyu mchunguzi hayupo na inadhaniwa kuwa huenda ndiye patient zero

Mitandao yenye info zake huko china imeshaondolewa na serikali ila sema bahati nzuri mitandao hiyo ilikuwa archived huko google.

Serikali ya China imebanwa na wachina mitandaoni kuhusu mwanasayansi huyu lakini imekuwa ikifanyoa censorship kali katika mitandao ya uchina kwa kufuta comments na posts zinazomhusu mtafiti huyu.

Cheki hii video wewe mwenyewe nisiongee mengi

sawa, lakini hawa mbona ni wakorea na sio wachina?

Tazama kipande hiki Cha filamu iliyotengenezwa na kuingia sokoni mwaka 2018. Katika filamu hii virusi vya CORONA vimezungumziwa. Sasa hapo ndo utajua kuwa tamaa ya mchina ndo inayougharimu ulimwengu kwa sasa.

View attachment 1406132
 
Ninyi filam zenu kila siku ni kijana wa kitaa au kutoka kijijini anaishia kuolewa na demu mtoto wa tajiri au tajiri mwenyewe. Hapo ni obviously filam mlizozizoea si za kufikirisha akili. Filam za wenzetu zimejikita katika kufikirisha, kufurahisha ma kuibua hali itakavyokuwa baadaye, kind of prediction
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hata kusema yakwamba US Alimpiga CHINA Kwa Bio Weapon Pia Mlishasema Mbna Kabla Mambo Kuona Yanarudi Yalipotokea [emoji16][emoji16][emoji3][emoji23][emoji2]

Sent using My COVID-19
 
NA YALE MAZOMBI KATIKA MOVIE ZA KIMAREKANI TUSEMEJE MKUU? KWA HIO MAREKANI ILIKUA TAARI KASHAJUA ZAMANI KWAMBA KUNA KIPINDI KITAKUJA WATU WATAKUA MAZOMBI, (YAANI KAMA MDA HUU WATU WANAVYOUMWA) NA KUAMBUKIZANA NI SAWA NA VILE TUNAVYOONA MOVIE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninyi filam zenu kila siku ni kijana wa kitaa au kutoka kijijini anaishia kuolewa na demu mkali. Hapo ni obviously filam mlizozizoea si za kyfikirisha akili. Filam za wenzetu zimejikita katika kujaribu kuibua hali itakavyokuwa baadaye, kind of prediction
Mental capacity ziko tofauti mkuu
 
Back
Top Bottom