Mzukulu
JF-Expert Member
- Feb 14, 2020
- 1,401
- 2,641
Tulidanganywa hapa na Mhamasishaji wao na Msemaji wao Nugaz pamoja nae Bumbuli kuwa Kiungo Mshambuliaji wao wanayemtukuza kuliko hata Mtume Mohammed na Yesu Kristo ( Kiimani ) aitwae Bernard Morisson Raia wa nchini Ghana kuwa amesinya ( ameshasaini ) Mkataba mwingine wa kuendelea Kuitumikia na Kuichezea Klabu ya Yanga kwa miaka mingine Miwili.
Taarifa ambazo nimezipata kutoka huko huko kwa hawa Wanaohasimiana ndani ya Yanga SC zinasema kwamba kumbe Morisson bado hajasaini na Yanga SC kwa miaka hiyo Miwili tunayodanganywa na kwamba alisaini tu kwa miezi Sita ambayo imeisha Jumatatu ya Wiki hii. Sababu ya Morisson Kuwagomea Yanga SC anataka alipwe Kwanza Tsh 120 Milioni asaini Yanga SC wana Tsh 70 Milioni tu.
Kazi ipo mwaka huu!
Karibu sana Simba SC Bernard Morisson.