kuna yule director wa Barcelona kafukuzwa kazi kisa kasema messi bila wenzake hawezi cheza mpira.Messi kawadhalilisha Man city ,man u ,Arsenal saaana vipi atawashindwa akina crystal
Kama akina Sanchez ,Costa ,ozil wanaonekana lulu huko messi ndio atashindwa
Haha unachozungumza ni kweli timu kama Atletico inapaki basi lakini hupaki kwa wanaojua tu..vp ya Barcelona Na Las Palmas hukuona ufundi wa Boateng nn?
Sasa timu kama Atl Madrid kuna ufundi gani pale zaidi ya kupaki mzigo
Mchezaji anayetoka kwenye EPL popote pale anacheza.hapa nimezungumzia Makocha na wachezaji sijataja ubora wa timu moja moja.
David berkam alitoka Man utd akaenda R.madrid bado akafanya vizuri,sawa sawa na Christian Ronaldo na pia Samir Nasri kuna Nzozi wote wanafanya Vizuri
kama sikosei ilikua mshindi wa UEFa na Europa ile chelsea alikutwa amekaa vibaya ila hizo timu sije zishiriki msimu mzima pale Epl ndo utaona Mwotto wakeHaha unachozungumza ni kweli timu kama Atletico inapaki basi lakini hupaki kwa wanaojua tu..
Ilivyokutana na Chelsea "EPL" ,Chelsea walipaki basi na kukandamizwa magoli 3..ndio ujue timu za EPL bado sana zibadilishe style zao
Atoke Barca aende wapi?watu wanataka mess acheze angalau miezi miwili tu EPL ndio tutapata majibu kwamba uwezo wake upo vipi lakini seif blatter anakaa na wala rushwa wenzie nike,adidas,puma mtangazeni huyo wapi hiyo SAINT GAUCHO AMEANZIA PALE BRAZIL AKAJA PSG TO BARCA lakini huyu andunje kutoka tumboni tu barca hata NESTA hamjui
Mkuu tuzo zile sio sababu za kusema mchezaji ni bora SUAREZ Alishasema ziko Kibiashara zaidi.Atoke Barca aende wapi?
Watu hutoka timu ndogo na kwenda timu kubwa
Halafu umtoe Messi Barca aende timu gani sasa
Gaucho alitoka timu ndogo PSG na kwenda timu kubwa Barca
Halafu Blatter hachagui mchezaji bora ni makocha ,captain+waandishi wa habari
Messi ni mchezaji bora wa wakati wote tafuta magwiji,makocha ,wachezaji walichozungumza juu ya Messi
Kama Pedro, Sanchez ,ozil wana perform ndio Messi ashindwe mchezaji ambaye hata umkate vipi haanguki ..
Playmaker,mchezeshaji,mshambuliaji yani kila sifa anayo
hivi ulijua blatter ni mla rushw?mbona unalazimisha aje kwenye ligi ya watu wanao kula DONAAtoke Barca aende wapi?
Watu hutoka timu ndogo na kwenda timu kubwa
Halafu umtoe Messi Barca aende timu gani sasa
Gaucho alitoka timu ndogo PSG na kwenda timu kubwa Barca
Halafu Blatter hachagui mchezaji bora ni makocha ,captain+waandishi wa habari
Messi ni mchezaji bora wa wakati wote tafuta magwiji,makocha ,wachezaji walichozungumza juu ya Messi
Kama Pedro, Sanchez ,ozil wana perform ndio Messi ashindwe mchezaji ambaye hata umkate vipi haanguki ..
Playmaker,mchezeshaji,mshambuliaji yani kila sifa anayo
Msimu huuacha utani bhana mkuu Villareal ya sasa au ya zamani??
Rushwa ya Blatter haihusiani na Tuzohivi ulijua blatter ni mla rushw?mbona unalazimisha aje kwenye ligi ya watu wanao kula DONA
Na Costatumemtanguliza Pedro.
Awe anajitoa mapema bac kama lengo lake ni EPL tu.umeona liver tu..tena kwa mwaka jana!..ikiwa na mwalim mpya,alietaka kwenda uefa kwa mgongo wa euro,spurs ktoka makundi sio tatizo,ila lengo lake ubingwa wa epl
Ya sasaacha utani bhana mkuu Villareal ya sasa au ya zamani??
Hata ligi ya Zanzibar ina ushindani kama huo wa Epl lakini sio bora. Sasa kama unapenda ushindani kwa nini usifuatilie pia ligi ya Zanzibar.Inawezekana isiwe lig bora kwa maana ya mpira mnaoutaka
Ila Ni lig ambayo ina ushindan mkubwa kuanzia team ya kwanza mpka 20
Mimi nadhani kinachowashinda timu nyingi za EPL kwenye UCL ni fixture zao. Fixture za EPL ni ngumu sana na hamna kupumzika kama ligi nyingine, so mda mwingi wachezaji wanachoka lakini epl ni the best aisee.
Hao spain au german wangekua na fixture ngumu kama epl wangeshidwa tu.
Umefunga mjadala kaka.Wachezaji unaowaona ni bora sana uingereza wakienda barca au madrid watakaa bench maisha yao yote.
Kila mchezaji anapambana ainue kiwango pale uingereza akacheze barca au madrid
Atoke Barca aende wapi?