bhachu
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 8,443
- 9,854
Na bado akawanyoosha Man U, Arsenal na Man citywatu wanataka mess acheze angalau miezi miwili tu EPL ndio tutapata majibu kwamba uwezo wake upo vipi lakini seif blatter anakaa na wala rushwa wenzie nike,adidas,puma mtangazeni huyo wapi hiyo SAINT GAUCHO AMEANZIA PALE BRAZIL AKAJA PSG TO BARCA lakini huyu andunje kutoka tumboni tu barca hata NESTA hamjui