Tukisema ligi ya EPL ndo kipimo Sahihi kwa Makocha na Wachezaji Tutakosea?

Tukisema ligi ya EPL ndo kipimo Sahihi kwa Makocha na Wachezaji Tutakosea?

watu wanataka mess acheze angalau miezi miwili tu EPL ndio tutapata majibu kwamba uwezo wake upo vipi lakini seif blatter anakaa na wala rushwa wenzie nike,adidas,puma mtangazeni huyo wapi hiyo SAINT GAUCHO AMEANZIA PALE BRAZIL AKAJA PSG TO BARCA lakini huyu andunje kutoka tumboni tu barca hata NESTA hamjui
Na bado akawanyoosha Man U, Arsenal na Man city
fa72f19611b51bcfb9e068f100dda661.jpg
 
Mkuu tuzo zile sio sababu za kusema mchezaji ni bora SUAREZ Alishasema ziko Kibiashara zaidi.

Mfano goli bora mwaka huu mchezaji sijui katoka Singapore sasa mlete huyo mchezaji acheze Epl na goli lake bora.

Muulize Memphis Depay atakwambia Siri ya Epl katoka Eredivise mchezaji bora kakutana na mwotto wa Epl yuko hoi.

We unakutana na Mtu na Ngolo kantee anakimbia kuliko mpira unategemea nini?
Sasa depay alikua ligi gani?? Kama angetokea laliga depay ange shine sana EPL sema nae kazingua tu
 
Bundesliga wamepumzika mwezi mzima,La Liga wamepumzika week 2,Seria A wamepumzika week 2. Epl amna mapumziko ni mchakamchaka mpaka may. Timu inacheza mechi 4 ndani ya siku 10. Madrid kacheza mechi 3 ndani ya siku 10 kashinda 1,kaliwa 1 na kadroo 1. Epl inabanwa na ratiba yake na kuwa na michuano mingi.
Epl wakipewa mapumziko kama timu nyingine itatuonyesha kama ni kweli wako vzuri au bado watakua wanazingua.
Mi naona Hawa ambao hawapumziki ndo ilibidi wawe moto wa kuotea mbali maana wanapiga tizi kila day alafu ili uwe na kiwango ni lazima upige zoezi na kucheza mechi nyingi lakini sasa nashangaa Timu za EPL zikishiriki makombe nje ya Uingereza yaani wanakua takataka kabisa
 
Swala la kocha au mchezaji kushindwa kupaform club flan kunachangiwa na mambo mengi ndani ya uwanja na nje ya uwanja.Ukianza na kocha unakuta anaenda kwenye club anaikuta ina falsafa yake na ilikua na kocha aliyeifundisha kwa falsafa yake sasa had iyo club ikae sawa sio kitu rahis rahis vinginevyo kocha asijaribu kubadilisha mfumo alioukuta.Na wachezaj ni ivyo ivyo.unakuta mchezaj katoka club A kaenda B hapo mtu anaanza upya kuendana na ayo mazingira maana anakuta kila kitu kigeni swala la yeye kupaform haraka itategemeana na mfumo au wachezaj wenzake aliowakuta ameelewana nao haraka kiasi gani.Ila ukitaka ujue ligi bora angalia timu zinazoshiriki Ligi ya mabingwa ulaya na kikosi kinachotengenezwa baaa ya mashindano kwisha uone kama timu za uingereza zinafanya vizuri au wachezaj wake wanachaguliwa ila ukitaka kujua ligi mashuhuri hasa uku africa hapo jibu lake ni EPL.
Sio afrika ni duniani
 
Mi naona Hawa ambao hawapumziki ndo ilibidi wawe moto wa kuotea mbali maana wanapiga tizi kila day alafu ili uwe na kiwango ni lazima upige zoezi na kucheza mechi nyingi lakini sasa nashangaa Timu za EPL zikishiriki makombe nje ya Uingereza yaani wanakua takataka kabisa

Wale ni binadamu,miili yao inachoka.
 
Hata ligi ya Zanzibar ina ushindani kama huo wa Epl lakini sio bora. Sasa kama unapenda ushindani kwa nini usifuatilie pia ligi ya Zanzibar.
ndio maana nkasema inaweza isiwe bora kwa ubora mnaoutaka ila ina ushindan kwa maana man cty vs everton bado ni mech nzur ya kuangalia kuliko kuangalia barcelona vs las pamas
 
EPL ni maarufu na sio bora especially kwa east africa, kawaulize UEFA watakuambia ligi ipi bora
Huwezi nishawishi niangalie LA liga maana timu hazina uwekezaji mkubwa kama zamani, Valencia ya Santiago kanzares au zenden sio ya sasa,malaga na kuchukuliwa na tajiri hakuna kitu yaani ukitoa Madrid,Barcelona na athletic Madrid hakuna timu ya kucompete nao, nenda bunderliga ukitoa Dortmund na buyern Munich kuna timu gani za kutamba
 
Sevilla Europa 3 na saizi nafasi ya 2 anashika


Europa kila msimu timu 3,2 lazima ziiingie semi final

Uefa la liga wanatesa


La liga ligi ya technical sana ,ladha ipo hebu tizama siku celta, las palmas wakicheza uone flow za pass

EPL = long balls

Juzi naangalia liver vs man u kila muda mipira ya juu ,butua butua ,misplacement za pass
 
labda lig bora ni kuangalia real madrid anacheza mech za ushindan sita tu msimu mzima
Yeah kuliko kuangalia katimu kanabahatisha kuchukua EPL alafu msimu unaofuata kapo kwenye hatihati ya kushuka daraja
 
Huwezi nishawishi niangalie LA liga maana timu hazina uwekezaji mkubwa kama zamani, Valencia ya Santiago kanzares au zenden sio ya sasa,malaga na kuchukuliwa na tajiri hakuna kitu yaani ukitoa Madrid,Barcelona na athletic Madrid hakuna timu ya kucompete nao, nenda bunderliga ukitoa Dortmund na buyern Munich kuna timu gani za kutamba
Wewe wasema, haya twende EUROPA nazani Liverpool yako haina hamu na sitaki kuongelea UEFA maana huku ni majanga matupu
 
Pale epl shida inakuja pale mtu ana gemu ya uefa then huku aitafuta top four niambie ukizubaa unakosa vyote kuwa top ten tuu epl sio padogo
 
Back
Top Bottom