Tukisema ligi ya EPL ndo kipimo Sahihi kwa Makocha na Wachezaji Tutakosea?

kama nani vile mkuu?mara ngap madrid wamemtaka Rooney kawatolea nje?uyu beki mbili wa Arsenal(bellerini)mbna kakataa kwenda Barca
hebu tupe mfano wako ni mchezaji gani bora hata Useme China kama rafiki yangu Diego costa.
1. Una miaka mingapi?
2. Wewe timu gani?
 
Yellow submarines......Ila ngoja tuone gemu la UEFA kati ya Sevilla mshindi wa nne laliga VS Leicester city Bingwa wa EPL.........nadhani hapa ndo utaona kuwa ligi ya EPL ni uchafu wa kutupwa
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha!
 
jibu swali.mkuuu?
 
dadadeki!
 
Epl.ipo nationality sna mkuu.

waingereza wana penda.sna ligi ya kwao kupita mashindano wengne yote ulaya.quote me.
 
Wewe sio mnafki.
 
hapa nimezungumzia Makocha na wachezaji sijataja ubora wa timu moja moja.

David berkam alitoka Man utd akaenda R.madrid bado akafanya vizuri,sawa sawa na Christian Ronaldo na pia Samir Nasri kuna Nzozi wote wanafanya Vizuri
Na Suarez.
 
yaani kocha bora ranieri lakin hakuna mchezaj wa timu yake aliyestahili kuingia kwenye kikosi cha dunia!?..inaingia akilin?..hivi kantelele hakufaa kuingia hapo,calwalker hakufaa,coutinho,sanchez,koscielny
sasa.ujue waigereza hawapendi.siasa za FIFA MKUU.

WaPo.kitaifa zaidi kombe.Lao ni.muhimu kupita kitu kingne hlo ujue,ndo kombe linalo waingiizia mapato mkubwa kupita hyo.UEFA YENU.ligi yenye hela.sna duniani.
wanaangalia waingireza.wangapi wame ajiriwa kupitia makampuni yanayoenda kuwekeza pale.
ukijua Hilo.utapata shida kuwa nini waingireza wanataka kupitia ligi Yao.
 
Wachezaji unaowaona ni bora sana uingereza wakienda barca au madrid watakaa bench maisha yao yote.

Kila mchezaji anapambana ainue kiwango pale uingereza akacheze barca au madrid
Nani kasema mkuu.
 
vp ya Barcelona Na Las Palmas hukuona ufundi wa Boateng nn?
Sasa timu kama Atl Madrid kuna ufundi gani pale zaidi ya kupaki mzigo
ukisema.hivyo.....mkuu wakija wao watakuchapa
 
aje uingereza umeambiwa mkuu
 
Rushwa ya Blatter haihusiani na Tuzo

Ndio maana tuzo zikitolewa majina ya wapiga kura na waliowapigia kura huainishwa

Halafu kungine Blatter ni mwanachama mwenye heshima Real Madrid
Nani kakudnaganya mkuu...?.ulimsikia golikipa.wa juvetus...2010.blatter ni facilitator
 
Magwiji wanaojua soka hawawezi gusa ligi ya EPL maana hailei vipaji mfano Ronaldinho, zidane, messi, Rinaldo delima, rivaldo, figo, kaka nk nk wote Hawa wameikimbia EPL na ndo maana sishangai EPL imetoa balon Dior mbili sijui moja
ukisali sna utaingia ufalume.wa Mungu ndicho unacho mainisha mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…