Tukisema sisi labda mtafungia mada zetu sikilizeni huko Kenya wanachokisema

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Wakenya wana uhuru wa kuhoji embu sikilizeni hii video mpaka mwisho.

Your browser is not able to display this video.




Your browser is not able to display this video.
 
Likija swala la utaifa wangu nipo mstari wa mbele kufa…wapambane na hali zao pumbavu zao…
 
Martha Karua ni laana kwa taifa la Kenya na Afrika Mashariki. Nyumbu wa CHADEMA wanatakiwa wajue huyu bibi alihusika na machafuko ya mwaka 2007 huko Kenya ambapo watu wengi sana walipoteza maisha. Kama sio jitihada za Tanzania kupitia Hayati Ben Mkapa na Rais Mstaafu JK hao wakenya wasingeelewana. UHAMIAJI wamefanya kazi nzuri sana kumzuia huyo bibi mchawi.
 
nani ana laana tuanzie hapo mnaye msifu na damu za watu
 
Yeye ndiye aliyemteka padre Kitima na wote waiotekwa na kuuwa na utawala huu wa CCM kwa nini matukio yote ya utekeji hayajachukuliwa hatua mpaka sasa ni kwa sababu wahusika ni utawala wenyewe, laana unayo wewe huna mbele wala nyuma wewe mnufaika wa wizi na ufisadi.
 
sasa umeme wa ethiopia utapitisha chumbani kwako
Hao ni vibaka tu ambao wala hawana lolote uko kwao zaidi ya kuropoka tu na vibaka wa hivyo ata bongo hii wapo.Swala la umeme nila serikali na kibaka akiingilia atakutana na mkono wa dola.Ata hivyo huo umeme tanzania inauchukulia mpakani kwasababu tayari ethiopia ana umeme wake kenya.Sio kila mjinga akiongea kwasababu huipendi nchi yako unashangilia.Hao vibaka hawawezi kukusaidia chochote.ukikua utaelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…