Tukisema Yanga SC kuna Njaa na Shida muwe mnatuelewa tafadhali

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
EXCLUSIVE: "Nimeandika barua ya kuvunja mkataba na Yanga kwa sababu sijalipwa mishahara yangu kwa muda wa miezi mitatu sasa. Mimi ni raia wa kigeni unategemea nitaishi vipi hapa"-Lamine Moro mchezaji wa Yanga.

Chanzo Habari: Mtandao wa Shaffih Dauda Leo tarehe 7 Disemba 2019


EXCLUSIVE: Falcao ameomba kuondoka ndani ya Yanga kufuatia kutolipwa mshahara wake wa miezi miwili. Inaelezwa.

Chanzo Habari: Mtandao wa Saleh Ally ule wa salehjembe Leo tarehe 7 Disemba 2019

Naomba aliyewahi Kusikia mahala popote pale Mchezaji wa Simba SC analia ' njaa ' kama hawa Wawili wa Yanga SC aweke Ushahidi wake hapa kama huu uliowekwa hapa. Niliwaambieni Yanga SC kuwa huyo Mwenyekiti wenu ni Simba SC ' dam dam ' hamniamini na hivi tunamalizana nae ' Kimjini Mjini ' ili Kelvin Yondan atue rami Msimbazi dirisha dogo kwani Kocha mpya Ibenge kutoka DRC Congo na Pitso Mosimane kutoka Afrika Kusini wote wanamuhitaji Kikosini.

Na tarehe 4 January 2020 tunaenda Kumfukuzisha Kazi Kocha Mkwasa kwa Kipigo ' Kitakatifu ' kwa Mchina.
 
Hizi taarifa mtani Shadeeya anazo??
 
Waondoke hata wote, january tutasajili wengine, kuna timu wachezaji hata mishahara hawana wanapewa posho tu, na wanacheza,
 
Huyu Syney na Lamine Moro walikuwa wanazunguka tu mtaani hata mia ya kula hawana, leo wamepata zari ya kuchezea timu kubwa wanaleta kiburi, watimuliwe haraka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…