Baada ya heka heka za ufunguzi wa kampeni za CHADEMA huko Mbagala si vibaya makamanda mkapitia pale uwanja wa uhuru " shamba la bibi" kumshuhudia kijana wetu wa mwananyamala Dulla Mbabe akimchakaza Kiduku kwa knock out ya mapema kabisa.
Siasa siyo uadui, karibuni sana akina bwashee.
Maendeleo hayana vyama!