Tukiwa kwenye mwezi wa huduma kwa wateja, tuwapongeze watoa huduma na taasisi ambazo zinatoa huduma nzuri na kutekeleza hitaji la mteja

Binafsi nawashukuru wafanyakazi wa hospitali ya Mloganzila. These guys are doing a great job.
Pale UROLOGY Kuna wabobezi wawili wasio jua kuchoka au kukasirika, wao Ni kazi kazi. Yuko Dr. Isaka na mwenzake Dr. Mgaya. Vile vile pale CARDIOLOGY BE Kuna mdada anaitwa Dr. Roselyn.
Hawa watu hiduma wanatoa kutoka moyoni.
Hongereni Sana.
 
Yule mama wa mihogo aliyenizoea mpaka ananipa offer kibao siku nyingine nakula bure naweza muandika hapa?
Ingependeza sana na baada ya kuandika kamuoneshe itamtia moyo.

NB:
Replies zako zinanivutiaga sana.
Ni za kipekee.
Za nje ya boksi.
Zinaonesha una uwezo mkubwa wa kufikiri.
Im your fan/stalker😀
 
Binafsi nawashukuru wafanyakazi wa hospitali ya Mloganzila. These guys are doing a great job.
Pale UROLOGY Kuna wabobezi wawili wasio jua kuchoka au kukasirika, wao Ni kazi kazi. Yuko Dr. Isaka na mwenzake Dr. Mgaya. Vile vile pale CARDIOLOGY BE Kuna mdada anaitwa Dr. Roselyn.
Hawa watu hiduma wanatoa kutoka moyoni.
Hongereni Sana.
Wa MLOGANZILA wamezisoma salam za pongezi watazifikisha 👏👏👏
 
Back
Top Bottom