Tukiwa tunaelekea Mei Mosi, TUCTA waomba Rais Samia asikilize kilio chao

Jiwe aliwaambia hana hela ya kuwalipa, sasa Mh. RAIS Samia Suluhu Hassan atatoa wapi hiyo hela? Waache uongo hawa kwa Jiwe mbona walinywea?
 
Tucta wamesahau kero za kudai mafao

FAO LA KUJITOA LIREJESHWE

Watu walipwe mafao kwa wakati

Hata fao la kukosa ajira halieleweki...watu wanadai na hawalipwi

NSSF kumeoza, NSSF ikaguliwe na CAG
 
Hamna kitu hawa. Walikuwa kimya kwa Maghufuli . Wanataka wamsumbue Mama Samiah , waendelee kusifu na kuabudu . Ningelikuwa mwanachama wao ningelijitoa

Odhis *
 
TUCTA ni genge la matapeli
 
Sasa kama mtu alikuwa hasikilizi ushauri yeye ni anaamka na kufanya anachotaka TUCTA ulitaka wafanyeje?
Sasa ndo uanze madai hata mtu hajakaa sawa ofisini,ana siku tatu tu,,,hiki chama tucta kivunjwe waunde upya ,ni wasaka tonge hawa
 
Hawa wapumbavu wa TUCTA wamekumbuka shuka baada ya Magufuli kufariki dunia. Walikuwa wamepoa kama barafu na busy kusifia sifia ujinga wa mzee Meko.
huwaa nawafananisha na kile chama cha walimu. kutwa kusifia halaf nyuma ya pazia wanalalamika.
ngoja tuone sahiz watesema nini.
 
TUCTA acheni Unafiki..Nyie ni wanafiki sana hamna kitu..miaka yoote hamjawahi kusema haya au mlikua safarini???
 
2013 walishapanda shida ipo kwa 2014 hawajapanda tu hadi inauma ukifikiria
 
Wafanyakaz hawajaongezwa mishahara siku zote mbona walivumilia?..
Tumuache mama afanye kazi Hatutaki matamko yao hao Tucta....
Waendelee kuvumilia mpk mama amalize mda wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…