Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Samia naomba achana na TUCTA ni wajinga hao. Mwenyekiti anayejiita Rais wa TUCTA aliliacha shirikisho akaenda kugombea ubunge kupitia CCM akifikiri JIWE atamsaidia apite na Katibu wake akaenda Iringa kumpigia kampeni mgombea ubunge wa CCM. Achana nao hawa wachumia tumbo.Shirikisho huru la vyama vya wafanyakazi Tanzania (TUCTA), limesema lina matumaini na Rais mpya wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan atashughulikia madai yao ya muda mrefu yalipwe kwa wakati ili kuinua maisha ya wafanyakazi.
Shirikisho huru la vyama vya wafanyakazi Tanzania (TUCTA), limesema lina matumaini na Rais mpya wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan atashughulikia madai yao ya muda mrefu yalipwe kwa wakati ili kuinua maisha ya wafanyakazi.
Tucta imesema Hayati Dkt. John Magufuli alishaanza kufanyia kazi malalamiko yao kupitia vikao maalumu alivyokuwa anafanya na viongozi wa TUCTA, hivyo ni mategemeo yao Samia ataendeleza pale alipoishia mtangulizi wake kuhakikisha anamaliza changamoto hiyo kabisa.
Akizungumza Dar es Salaam leo (jana) Machi 28,2021 kwa njia ya simu na gazeti hili, kuelezea matarajio yao kwa Rais mpya.
Kaimu Katibu Mkuu wa TUCTA, Said Wamba amesema wanaanzia walipoishi na Hayati Magufuli kwamba madai yao ya mishahara na hali bora ya maisha kwa wafanyakazi yanaendelea.
“Na matumaini yetu, rais mpya na watendaji wake watayaona madai yetu ni ya maana na ya msingi kwa maendeleo ya wafanyakazi na wananchi kwa ujumla. Mishahara, kodi, na tulishaandika barua kwenda serikalini kuwaomba watupunguzie kiwango cha kodi ya mapato ambayo wanafanyakazi wanalipa kupitia fedha zao. Tunashukuru mwaka jana walipunguza kwa kiasi fulani lakini safari hii tunaomba wapunguze pia ,”
“Mishahara na marupurupu ya wafanyakazi ambayo yalisimama kwa muda mrefu sasa tunaomba yaanze kupatikana ,” anasema
Wamba ameeleza wana miaka minane sasa hawajaongezewa kiwango cha mshahara na mara ya mwisho kuongezewa ilikuwa mwaka 2013, licha ya kwamba uongozi wa shirikisho hilo umekuwa ukijitahidi kudai madai hayo kila mwaka kupitia sikukuu ya wafanyakazi inayofanyika Mei Mosi kila mwaka lakini bado hawaja timiziwa.
“ Tunaamini Rais atatumia busara na watendaji wake wengine kuangalia kilio chetu na akituongezea itasaidia kuinua morali ya ufanyaji kazi,” anasema Wamba.
Pia amesema Rais Magufuli aliwawekea utaratibu wa kukutana naye mara mbili au tatu kila mwaka na kupitia mikutano hiyo, ilikuwa inasaidia kumaliza baadhi ya changamoto ndogo ndogo zilizokuwa zinawakwamisha kwenye shughuli zao.
“Tunafikiri naye Rais mpya kurithi utaratibu huo wa kukutana na vyama vya wafanyakazi kila wakati kuondoa matatizo madogo madogo kwa mazungumzo ya kawaida kupata ufumbuzi kuliko kuamini kufuata sheria au kuanzisha mapambano ambayo kimsingi yanawapotezea muda,” alisema.
Wamba amemaliza kwa kutoa wito kwa wafanyakazi wote katika kipindi hiki wanatakiwa kuwa na subra kumpa muda wa kutosha Rais mpya kwa kuwa anakabiliwa na majukumu mengi ya kufanya, huku akiwataka kuendelea kutimiza wajibu wao wakati viongozi wa TUCTA wakifanya utaratibu wa kufuatilia madai hayo.
Chanzo: Tucta waomba Rais Samia asikilize kilio chao
My take:
Wakati wa kupandisha madaraja ningeomba aanze na wale ambao hawajawi kupanda daraja kabisa tangu waajiriwe. Kwa mfano, ajira mpya ya 2013 na wachache wa 2012.
Kosa la viongozi lisiathiri wafanyakaziSamia naomba achana na TUCTA ni wajinga hao. Mwenyekiti anayejiita Rais wa TUCTA aliliacha shirikisho akaenda kugombea ubunge kupitia CCM akifikiri JIWE atamsaidia apite na Katibu wake akaenda Iringa kumpigia kampeni mgombea ubunge wa CCM. Achana nao hawa wachumia tumbo.
Bila kusahau kikokotooTucta wamesahau kero za kudai mafao
FAO LA KUJITOA LIREJESHWE
Watu walipwe mafao kwa wakati
Hata fao la kukosa ajira halieleweki...watu wanadai na hawalipwi
NSSF kumeoza, NSSF ikaguliwe na CAG
Kuna baadhi ya halmashauri wa 2013 bado2013 walishapanda shida ipo kwa 2014 hawajapanda tu hadi inauma ukifikiria
Hao wafanyakazi awakumbuke tu Rais Samia mwenyewe na siyo kukumbushwa na hao wachumia tumbo. Miaka yote mitano wao wanawaza kugombea tu ubunge kupitia CCM halafu leo wajifanye wanauchungu na wafanyakazi! Toka lini mwanaCCM akawa na uvhungu na wafanyakazi?Kosa la viongozi lisiathiri wafanyakazi
Walikuwa wanamuogopa MzeeHawa wapumbavu wa TUCTA wamekumbuka shuka baada ya Magufuli kufariki dunia. Walikuwa wamepoa kama barafu na busy kusifia sifia ujinga wa mzee Meko.
Walikuwa wamefyata mikia.Hivi hawa umbwa wapo ,yaani walikua wapi siku zote au kwakua jamaa kafa ndio wanajidai kutoka mafichoni, unafiki wa kiwango cha SGR
2013 walishapanda shida ipo kwa 2014 hawajapanda tu hadi inauma ukifikiriaShirikisho huru la vyama vya wafanyakazi Tanzania (TUCTA), limesema lina matumaini na Rais mpya wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan atashughulikia madai yao ya muda mrefu yalipwe kwa wakati ili kuinua maisha ya wafanyakazi.
Shirikisho huru la vyama vya wafanyakazi Tanzania (TUCTA), limesema lina matumaini na Rais mpya wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan atashughulikia madai yao ya muda mrefu yalipwe kwa wakati ili kuinua maisha ya wafanyakazi.
Tucta imesema Hayati Dkt. John Magufuli alishaanza kufanyia kazi malalamiko yao kupitia vikao maalumu alivyokuwa anafanya na viongozi wa TUCTA, hivyo ni mategemeo yao Samia ataendeleza pale alipoishia mtangulizi wake kuhakikisha anamaliza changamoto hiyo kabisa.
Akizungumza Dar es Salaam leo (jana) Machi 28,2021 kwa njia ya simu na gazeti hili, kuelezea matarajio yao kwa Rais mpya.
Kaimu Katibu Mkuu wa TUCTA, Said Wamba amesema wanaanzia walipoishi na Hayati Magufuli kwamba madai yao ya mishahara na hali bora ya maisha kwa wafanyakazi yanaendelea.
“Na matumaini yetu, rais mpya na watendaji wake watayaona madai yetu ni ya maana na ya msingi kwa maendeleo ya wafanyakazi na wananchi kwa ujumla. Mishahara, kodi, na tulishaandika barua kwenda serikalini kuwaomba watupunguzie kiwango cha kodi ya mapato ambayo wanafanyakazi wanalipa kupitia fedha zao. Tunashukuru mwaka jana walipunguza kwa kiasi fulani lakini safari hii tunaomba wapunguze pia ,”
“Mishahara na marupurupu ya wafanyakazi ambayo yalisimama kwa muda mrefu sasa tunaomba yaanze kupatikana ,” anasema
Wamba ameeleza wana miaka minane sasa hawajaongezewa kiwango cha mshahara na mara ya mwisho kuongezewa ilikuwa mwaka 2013, licha ya kwamba uongozi wa shirikisho hilo umekuwa ukijitahidi kudai madai hayo kila mwaka kupitia sikukuu ya wafanyakazi inayofanyika Mei Mosi kila mwaka lakini bado hawaja timiziwa.
“ Tunaamini Rais atatumia busara na watendaji wake wengine kuangalia kilio chetu na akituongezea itasaidia kuinua morali ya ufanyaji kazi,” anasema Wamba.
Pia amesema Rais Magufuli aliwawekea utaratibu wa kukutana naye mara mbili au tatu kila mwaka na kupitia mikutano hiyo, ilikuwa inasaidia kumaliza baadhi ya changamoto ndogo ndogo zilizokuwa zinawakwamisha kwenye shughuli zao.
“Tunafikiri naye Rais mpya kurithi utaratibu huo wa kukutana na vyama vya wafanyakazi kila wakati kuondoa matatizo madogo madogo kwa mazungumzo ya kawaida kupata ufumbuzi kuliko kuamini kufuata sheria au kuanzisha mapambano ambayo kimsingi yanawapotezea muda,” alisema.
Wamba amemaliza kwa kutoa wito kwa wafanyakazi wote katika kipindi hiki wanatakiwa kuwa na subra kumpa muda wa kutosha Rais mpya kwa kuwa anakabiliwa na majukumu mengi ya kufanya, huku akiwataka kuendelea kutimiza wajibu wao wakati viongozi wa TUCTA wakifanya utaratibu wa kufuatilia madai hayo.
Chanzo: Tucta waomba Rais Samia asikilize kilio chao
My take:
Wakati wa kupandisha madaraja ningeomba aanze na wale ambao hawajawi kupanda daraja kabisa tangu waajiriwe. Kwa mfano, ajira mpya ya 2013 na wachache wa 2012.
du miaka 8bado
Ee ni ajabu sana, hawa ndo walikuwa wanamsifia jiwe, leo tena wanamadai, ka ma vile kinyonga.Shirikisho huru la vyama vya wafanyakazi Tanzania (TUCTA), limesema lina matumaini na Rais mpya wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan atashughulikia madai yao ya muda mrefu yalipwe kwa wakati ili kuinua maisha ya wafanyakazi.
Shirikisho huru la vyama vya wafanyakazi Tanzania (TUCTA), limesema lina matumaini na Rais mpya wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan atashughulikia madai yao ya muda mrefu yalipwe kwa wakati ili kuinua maisha ya wafanyakazi.
Tucta imesema Hayati Dkt. John Magufuli alishaanza kufanyia kazi malalamiko yao kupitia vikao maalumu alivyokuwa anafanya na viongozi wa TUCTA, hivyo ni mategemeo yao Samia ataendeleza pale alipoishia mtangulizi wake kuhakikisha anamaliza changamoto hiyo kabisa.
Akizungumza Dar es Salaam leo (jana) Machi 28,2021 kwa njia ya simu na gazeti hili, kuelezea matarajio yao kwa Rais mpya.
Kaimu Katibu Mkuu wa TUCTA, Said Wamba amesema wanaanzia walipoishi na Hayati Magufuli kwamba madai yao ya mishahara na hali bora ya maisha kwa wafanyakazi yanaendelea.
“Na matumaini yetu, rais mpya na watendaji wake watayaona madai yetu ni ya maana na ya msingi kwa maendeleo ya wafanyakazi na wananchi kwa ujumla. Mishahara, kodi, na tulishaandika barua kwenda serikalini kuwaomba watupunguzie kiwango cha kodi ya mapato ambayo wanafanyakazi wanalipa kupitia fedha zao. Tunashukuru mwaka jana walipunguza kwa kiasi fulani lakini safari hii tunaomba wapunguze pia ,”
“Mishahara na marupurupu ya wafanyakazi ambayo yalisimama kwa muda mrefu sasa tunaomba yaanze kupatikana ,” anasema
Wamba ameeleza wana miaka minane sasa hawajaongezewa kiwango cha mshahara na mara ya mwisho kuongezewa ilikuwa mwaka 2013, licha ya kwamba uongozi wa shirikisho hilo umekuwa ukijitahidi kudai madai hayo kila mwaka kupitia sikukuu ya wafanyakazi inayofanyika Mei Mosi kila mwaka lakini bado hawaja timiziwa.
“ Tunaamini Rais atatumia busara na watendaji wake wengine kuangalia kilio chetu na akituongezea itasaidia kuinua morali ya ufanyaji kazi,” anasema Wamba.
Pia amesema Rais Magufuli aliwawekea utaratibu wa kukutana naye mara mbili au tatu kila mwaka na kupitia mikutano hiyo, ilikuwa inasaidia kumaliza baadhi ya changamoto ndogo ndogo zilizokuwa zinawakwamisha kwenye shughuli zao.
“Tunafikiri naye Rais mpya kurithi utaratibu huo wa kukutana na vyama vya wafanyakazi kila wakati kuondoa matatizo madogo madogo kwa mazungumzo ya kawaida kupata ufumbuzi kuliko kuamini kufuata sheria au kuanzisha mapambano ambayo kimsingi yanawapotezea muda,” alisema.
Wamba amemaliza kwa kutoa wito kwa wafanyakazi wote katika kipindi hiki wanatakiwa kuwa na subra kumpa muda wa kutosha Rais mpya kwa kuwa anakabiliwa na majukumu mengi ya kufanya, huku akiwataka kuendelea kutimiza wajibu wao wakati viongozi wa TUCTA wakifanya utaratibu wa kufuatilia madai hayo.
Chanzo: Tucta waomba Rais Samia asikilize kilio chao
My take:
Wakati wa kupandisha madaraja ningeomba aanze na wale ambao hawajawi kupanda daraja kabisa tangu waajiriwe. Kwa mfano, ajira mpya ya 2013 na wachache wa 2012.
Tatizo ni kwamba haya mavyama yapo kisheriaIla nchi hii ina wajinga wengi sana.
Imagine mtu amelimwa 2% ya kiduchu chake na chama hiki cha kisiasa!
2013 walishapanda shida ipo kwa 2014 hawajapanda tu hadi inauma ukifikiria
du miaka 8
No.Tatizo ni kwamba haya mavyama yapo kisheria
1. Umeenda mbali sana kuwaita "wapumbavu". Hiyo siyo sawa na si ustaarabuHawa wapumbavu wa TUCTA wamekumbuka shuka baada ya Magufuli kufariki dunia. Walikuwa wamepoa kama barafu na busy kusifia sifia ujinga wa mzee Meko.