Tukiwa tunasema Mashabiki wa Yanga SC wana matatizo ' Vichwani ' mwao muwe mnatuelewa tafadhalini

Tukiwa tunasema Mashabiki wa Yanga SC wana matatizo ' Vichwani ' mwao muwe mnatuelewa tafadhalini

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Yaani umeshaachwa tayari alama ( points ) tano na Simba SC badala ya Wewe Kusikitika kama si Kuumia Watu wazima na Akili zao kabisa hasa Mashabiki wa Yanga wanashangilia Mshambuliaji wao Molinga leo Kufunga Magoli Mawili yaliyopelekea Wao kupata Alama ( Point ) moja tu ambayo sasa imewafanya Wawe Timu ya Pili yenye Hatari ya Kushuka Daraja muda wowote kuanzia sasa.

Nawaonea mno Huruma Yanga SC. Na kwa kuwasaidieni tu wana Yanga SC kuwa kwa Hasira tulizonazo Simba SC msije mkategemea kuwa eti kuna Mechi hata Moja Simba SC tutapoteza kwani kwa sasa hakuna cha Kupoteza na tunataka ' Kuzoa ' Makombe yote muhimu kuanzia la VPL na lile la ASFC ili mwakani tukashiriki wenyewe tu kwani mwaka jana tumewabeba ' Mapopoma ' fulani hivi na hapa Juzi wametoka kututia Aibu tu huko Ndola nchini Zambia.

Mechi ya leo dhidi ya Polisi FC tumeicheza na tayari kuna ' Team ' ya Kamati ya Roho Mbaya ilikuwepo leo Uhuru na nyingine ipo Kazini kuicheza Mechi ya Yanga SC na Coastal Union Jumapili nia na madhumuni katika Mechi Tatu ( 3 ) Yanga SC ' ahabribu ' ili tumuache kwa Alama ( Points ) ama Tano au Saba tu Jambo ambalo tayari linaanza Kufanikiwa.

Kila Mtu acheze Mechi zake tafadhali.
 
Simba chukueni hayo makombe ya mchangani, Yanga tunachukua kombe la shirikisho Afrika
 
Molinga Falcao amefunga goli la kimataifa, ndio goli bora toka ligi kuu ianze, bonge ya goli

Hilo Goli lingekuwa na Umuhimu Kwenu / kwa Yanga SC hadi hivi leo mngekuwa na Alama hiyo Moja wakati Mwenzenu Simba SC ndiyo anazidi ' Kuzikusanya ' tu mapema mapema hivi kiasi kwamba hadi Siku Yanga SC mtakayokuja ' Kuzinduka ' mtajikuta kila Mkishinda Mechi zenu bado mna pengo la Alama 15 au 18 dhidi ya Simba SC. Na kwa Kukusaidia tu ' Popoma ' Wewe wakati ukimsimfia Mshambuliaji wenu huyo Molinga na Kuthibitisha nilichokisema kuwa Yanga SC wengi mna matatizo ' Vichwani ' mwenu ' Mkakati ' madhubuti kabisa wa Simba SC kwa Msimu huu ni Kutangaza Ubingwa wa VPL huku tukiwa tumebakisha Michezo Kumi ( 10 ) Kibindoni na kwa Simba SC hii ya sasa naliona hilo Kutokea na Kufanikiwa hasa ikijulikana kuwa Simba SC inaongozwa na Watu ' Intelligent ' tofauti na ' Matahaira ' walioko huko Kwenu. Yaani unashangilia Goli la Molinga badala ya Kusikitika ' Mwanamume ' Mnyama Mnyamani Kukuacha na huku Moto wake ukiwa ' haupoi ' kabisa.
 
Simba chukueni hayo makombe ya mchangani, Yanga tunachukua kombe la shirikisho Afrika

Kama Polisi FC ( Watoto wa IGP Sirro ) leo wamekutoa ' Kamasi ' Uwanja wa Uhuru ndiyo utawaweza ' Wanamume ' wa Shoka ambao utakutana nao huko Shirikishoni? Nikiwa nasema Mashabiki wa Yanga SC mna matatizo ' Vichwani ' mwenu msiwe mnabisha sawa?

Na kama' Dua ' yangu Mwenyezi Mungu anaisikia na ataipokea naomba Yanga SC huko Shirikisho mpangiwe na Klabu Moja kutoka nchini Misri, nyingine Nigeria na ya mwisho iwe inatokea Afrika Kusini ili mshikishwe Adabu vizuri na mjue kuwa ni Klabu moja tu Afrika Mashariki ambayo ni Simba SC ndiyo ' imebarikiwa ' na Mwenyezi Mungu kufanya vyema hasa katika Mashindano ya Kimataifa.
 
Umesahau mwaka jana? Droo na Ndanda, kipigo na mbao, tukaw tupo points 5 mbele yenu hadi katikati ya ligi?
Lakini mlikuja mkanyanyua kwapa na kina Okwi na Niyonzima.
Endelea kutega masikio.
 
Umesahau mwaka jana? Droo na Ndanda, kipigo na mbao, tukaw tupo points 5 mbele yenu hadi katikati ya ligi?
Lakini mlikuja mkanyanyua kwapa na kina Okwi na Niyonzima.
Endelea kutega masikio.

Kuachwa na Simba SC kwa Alama hizi Tano ( 5 ) ni ' Pigo ' kubwa sana Kwenu hasa nanyi mkiwa mnausaka Ubingwa wa VPL ambao naweza kusema kuwa mnaweza hata msiupate hata kwa miaka Mitano au Saba mfulululizo. Na hivi TFF nayo ina ' Bifu ' la Kichinichini nanyi Msimu huu mtapigishwa ' Shoti ' na ' Kujambishwa ' sana hadi mtachanganyikiwa, mtagombana na kufukuzana kwa Bakora hapo Mitaa yenu ya Twiga na Jangwani.

Ni Timu mbili tu ambazo naziona ndizo zinaweza anngalau Kujitutumu na Kujitahidi ' Kuisumbua ' Simba SC ambazo ni Azam FC na KMC FC kwakuwa ' Kiufundi ' ndizo Timu pekee kabisa zenye aina ya Wachezaji ambao watawapa Changamoto na Usumbufu Simba SC ila kama kuna Timu katika VPL ambayo nina uhakika katika Mechi yake ya Kwanza itafungwa Goli Saba ( 7 ) na Mzunguko wa Pili itafungwa Goli Kenda ( 9 ) basi ni Yanga SC kwani ni ' Wabovu ' kuliko miaka yote ya uwepo wao.
 
Yanga level yetu ni mashindano ya kimataifa, simba level yao ni kitaifa akina ndanda , namungo, lipuli n.k. Yanga tunajiandaa kupambana na VITA, TP MAZEMBE, ZAMALEK.

Ukipangwa nao hao Kweli kama ulivyowataja hapa Ukiwafunga ndani nje ' nakunya ' kwa Makusudi tena Mchana tu Getini pale jengo la mbele la lilipo Jengo la Exim na ambalo linatazamana pia na Jengo la Posta.
 
Simba ni timu mbovu sana ndio maana walitolewa na vibonde wamakonde UD SONGO , UD SONGO juzi wamefungwa na platinum ya zimbabwe.
 
Simba ni timu mbovu sana ndio maana walitolewa na vibonde wamakonde UD SONGO , UD SONGO juzi wamefungwa na platinum ya zimbabwe.

Wewe Wiki iliyopita huko Ndola nchini Zambia katika Dimba la Levy Mwanawasa ulitolewa na Timu gani kwa ' Uratibu ' mzuri wa Makame?
 
Simba imejikita katika mashindano ya kimataifa na ndio maana haitataka poteza point msimu huu
 
Kwan pacha wako An Eagle amezungumziaje kuhusu hili suala la viporo vyura fc na mikia fc wazee wa mechi za kitaifa
 
Back
Top Bottom