Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Labda katoroka Dodoma, pale mirembeKujadili ubingwa baada ya mechi mbili au tano ni akili ya mtu aliyetoka gerezani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda katoroka Dodoma, pale mirembeKujadili ubingwa baada ya mechi mbili au tano ni akili ya mtu aliyetoka gerezani
KabisaLabda katoroka Dodoma, pale mirembe
Imejikita kwenye mashindano gani? Rudia tena tukusikieSimba imejikita katika mashindano ya kimataifa na ndio maana haitataka poteza point msimu huu
Labda NdondoImejikita kwenye mashindano gani? Rudia tena tukusikie
Acha wehu huo point tano katika football si chochote kinaweza badilka si kitu Sana ligi bado mbich Sana hii weka akiba ya maneno kwanzaYaani umeshaachwa tayari alama ( points ) tano na Simba SC badala ya Wewe Kusikitika kama si Kuumia Watu wazima na Akili zao kabisa hasa Mashabiki wa Yanga wanashangilia Mshambuliaji wao Molinga leo Kufunga Magoli Mawili yaliyopelekea Wao kupata Alama ( Point ) moja tu ambayo sasa imewafanya Wawe Timu ya Pili yenye Hatari ya Kushuka Daraja muda wowote kuanzia sasa.
Nawaonea mno Huruma Yanga SC. Na kwa kuwasaidieni tu wana Yanga SC kuwa kwa Hasira tulizonazo Simba SC msije mkategemea kuwa eti kuna Mechi hata Moja Simba SC tutapoteza kwani kwa sasa hakuna cha Kupoteza na tunataka ' Kuzoa ' Makombe yote muhimu kuanzia la VPL na lile la ASFC ili mwakani tukashiriki wenyewe tu kwani mwaka jana tumewabeba ' Mapopoma ' fulani hivi na hapa Juzi wametoka kututia Aibu tu huko Ndola nchini Zambia.
Mechi ya leo dhidi ya Polisi FC tumeicheza na tayari kuna ' Team ' ya Kamati ya Roho Mbaya ilikuwepo leo Uhuru na nyingine ipo Kazini kuicheza Mechi ya Yanga SC na Coastal Union Jumapili nia na madhumuni katika Mechi Tatu ( 3 ) Yanga SC ' ahabribu ' ili tumuache kwa Alama ( Points ) ama Tano au Saba tu Jambo ambalo tayari linaanza Kufanikiwa.
Kila Mtu acheze Mechi zake tafadhali.
Acha wehu huo point tano katika football si chochote kinaweza badilka si kitu Sana ligi bado mbich Sana hii weka akiba ya maneno kwanza
ni kweli yanga kuna shida
Hadithi yako inatufundisha nn madam
Mlianza Klabu Bingwa sasa mnasema Shirikisho sawa ila shuka tu Siku ya siku utasema Azam cup mnasubiri au MapinduziSimba chukueni hayo makombe ya mchangani, Yanga tunachukua kombe la shirikisho Afrika
BONGE LA GOLI NA POINTI MOJA????!!!! DU,kweli mwaka wa njaa hata mizizi utachekelea kuipata.Molinga Falcao amefunga goli la kimataifa, ndio goli bora toka ligi kuu ianze, bonge ya goli