Tukiwa tunasema Mashabiki wa Yanga SC wana matatizo ' Vichwani ' mwao muwe mnatuelewa tafadhalini

Tukiwa tunasema Mashabiki wa Yanga SC wana matatizo ' Vichwani ' mwao muwe mnatuelewa tafadhalini

Hugo Genta ana kihoro cha UD Songo, bado wenge halijapowa anaweweseka tu.
 
Yaani umeshaachwa tayari alama ( points ) tano na Simba SC badala ya Wewe Kusikitika kama si Kuumia Watu wazima na Akili zao kabisa hasa Mashabiki wa Yanga wanashangilia Mshambuliaji wao Molinga leo Kufunga Magoli Mawili yaliyopelekea Wao kupata Alama ( Point ) moja tu ambayo sasa imewafanya Wawe Timu ya Pili yenye Hatari ya Kushuka Daraja muda wowote kuanzia sasa.

Nawaonea mno Huruma Yanga SC. Na kwa kuwasaidieni tu wana Yanga SC kuwa kwa Hasira tulizonazo Simba SC msije mkategemea kuwa eti kuna Mechi hata Moja Simba SC tutapoteza kwani kwa sasa hakuna cha Kupoteza na tunataka ' Kuzoa ' Makombe yote muhimu kuanzia la VPL na lile la ASFC ili mwakani tukashiriki wenyewe tu kwani mwaka jana tumewabeba ' Mapopoma ' fulani hivi na hapa Juzi wametoka kututia Aibu tu huko Ndola nchini Zambia.

Mechi ya leo dhidi ya Polisi FC tumeicheza na tayari kuna ' Team ' ya Kamati ya Roho Mbaya ilikuwepo leo Uhuru na nyingine ipo Kazini kuicheza Mechi ya Yanga SC na Coastal Union Jumapili nia na madhumuni katika Mechi Tatu ( 3 ) Yanga SC ' ahabribu ' ili tumuache kwa Alama ( Points ) ama Tano au Saba tu Jambo ambalo tayari linaanza Kufanikiwa.

Kila Mtu acheze Mechi zake tafadhali.
Acha wehu huo point tano katika football si chochote kinaweza badilka si kitu Sana ligi bado mbich Sana hii weka akiba ya maneno kwanza
 
Acha wehu huo point tano katika football si chochote kinaweza badilka si kitu Sana ligi bado mbich Sana hii weka akiba ya maneno kwanza

Bado nasisitiza kuwa kwa Simba SC hii ya sasa na ' Mikakati ' yake iliyopo kwa Yanga SC ' Kuangusha ' hizo Alama ( Points ) Tano ( 5 ) ni Pigo Kubwa Kwao kwani kwa aina ya Kikosi Kipana cha Simba SC cha sasa na namna Wachezaji walivyo ' committed ' huku kila Mmoja sasa akiwa na ' Mind ' ya Kufanikiwa zaidi na ukizingatia Wachezaji wanalelewa vyema na wanapata kila wanachostahili huku Timu ikiishi ' Kisasa ' kabisa sijaona bado Timu ya kuipa ' Changamoto ' au Kuizuia Simba SC isibebe tena Kombe la VPL kwa Msimu huu wa 2019 / 2020. Ni Timu mbili tu pekee ndiyo naziogopa kwakuwa ' Kiufundi ' nimeshazipima kuwa zipo vyema ambazo ni Azam FC na KMC FC ndizo angalau zinaweza Kujitahidi ' Kuisumbua ' Simba SC ila kama kuna Timu ambayo ni nyepesi ' Kufungika ' na bado haijakaa vyema Kitimu na itakuja kupata Kichapo cha ' Kishalubela / Kitakatifu ' kutoka kwa Simba SC katika Mechi zake zote mbili basi ni Yanga SC. Itunze hii ' Post ' yangu Mkuu.
 
ni kweli yanga kuna shida

Mtu akikuambia kuwa una Akili kama za Mashabiki wa Yanga SC mpige ' Ngumi ' upesi sana kwani hapo anakuwa ni kama vile ' amekutukana ' Tusi moja baya mno Mkuu. Yaani Wanashangilia Molinga Kufunga Magoli yale Mawili huku wakiridhika na Alama ( Point ) Moja tu waliyonayo hadi sasa huku wakiwa ni ' Manaibu ' wa Timu ambazo huenda zikashuka Daraja wakitanguliwa na Biashara United ya Mkoani Kwangu / Kwetu Mara.
 
Simba chukueni hayo makombe ya mchangani, Yanga tunachukua kombe la shirikisho Afrika
Mlianza Klabu Bingwa sasa mnasema Shirikisho sawa ila shuka tu Siku ya siku utasema Azam cup mnasubiri au Mapinduzi
 
Molinga Falcao amefunga goli la kimataifa, ndio goli bora toka ligi kuu ianze, bonge ya goli
BONGE LA GOLI NA POINTI MOJA????!!!! DU,kweli mwaka wa njaa hata mizizi utachekelea kuipata.
 
Back
Top Bottom